Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

hongera kokudo!sred yako imevuka boda iko pande za kongo sasa,,bravoooo!
 
Kha!we dena mpaka huku unakujua?Karena kulishachuja sasa hv ni Liga,katemi,virgmark nk umenifurahsha sana.kwani we uko pande zipi hapa tz?mama yngu hizi nickname unaweza kua hata jirani yangu alafu ckujui.
<br />
<br />
Liga poa niko karibu na uwanja wa kambarage
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom