Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Mie napendaga Sumayi iliyo jirani na Karena. Nitakuwa hapo kuanzia 20 hadi 26 Machi. Karibu tulambe ulabu na nikuvue kilemba. Nitafutie pweza.
Hee kabushaija sumayi?ya wapi?kma ni ya huku pweza utawapata wapi?na hcho kilemba unamvua nani?
 
Aisee Kokudo wewe kiboko umevuka lengo kabisa page 41?? Big up sana
 
Dah thread ina page 41 naanza kukuonea wivu mwe!
 
Haya jamani kama kweli kuna nepotism,naomba tuiache mara moja,let us be objective !
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza,leo umepata michngo ya kufa mtu,nfikiri leo utatafsiri ni nini kinatakiwa,hata mimi nilijiuliza nikapata jibu.
 
Mkuu taratibu twende mdogomdogo hapo kwenye RED tunakera jamvi kivip? hebu eleza watu wakuelewe bana!
Ukisikia miwivu ya kijinga ndo kama hiyo...... Homeboy wangu wewe tangu mwaka huu uanze hujarusha thread hata moja lakini nawe uko kwenye listi............ sijui nitukane?
 
Ukisikia miwivu ya kijinga ndo kama hiyo...... Homeboy wangu wewe tangu mwaka huu uanze hujarusha thread hata moja lakini nawe uko kwenye listi............ sijui nitukane?

Wewe sijui ulisahaulika vipi dah.............
 
Okay Dena asipoingia jamvini nijaku pm nikupe namba yake.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom