Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Ndugu wanajamvi kwa mamlaka niliyopewa na niliyojiongezea mimi mwenyewe nachukua fursa hii kutangaza RASMI ndoa kati ya nitonye na bibie Arabela itakayofanyika siku ya keshokutwa jumamosi tarehe 31/08/2013 huko kijijini kwao Kyabakali mkoani Kagera, Wote mnakaribishwa.. Kwa wale mtakaohudhuria harusini wasiliana na Bishanga na kyanaKyoMuhaya kwa ajili ya usafiri wa ndege ya kukodi hadi kijijini, kwa mlioko Mwanza wasilianeni na charminglady kuna boti ya kukodi pale iko standby, wakati huo KakaKiiza anawasiliana na wakala wa fastjet kwa ajili ya usafiri toka Dar, Arusha na Kilimanjaro.

Kwa sababu za kiusalama zubedayo_mchuzi na Mamndenyi hawataruhusiwa kuhudhuria..

Mtakaohitaji kutoa michango tumeni kwangu mwenyekiti kwa M-Pesa, Tigopesa na Ezypesa..

Wakatabahu
Baba V
The Life chairperson.
ivi nani ni mwenyekiti rasmi wa mahusiano chitchat? maana majuzi Erickb52 aliibuka hapa na mkewe wakatangaza kujitwalia madaraka, leo wewe unatangaza ndoa, ivi nyie mmetufanya sisi watoto enheeeeeee?
 
Last edited by a moderator:
Natakiwa kufanya yale maandalizi yetu? au ujio huu ni tofauti....hakikisha Heaven on earth hajui...
Ehee..
na Arushaone pia asijue........

Hebu niambie yote my dear.....

mwe kuna ya kunoa tena vifanyio lol

Inabidi tupange muda tumalizie yale mazungumzo yetu.......
Naangalia tu..
Hujawahi kuona?
Mwanzo wa muvi

we upitie home baadae,leo siendi kokote......,
Usaliti unaanza
Uko peke yako?
Makubwa
Niko peke yangu,ntaruhusiwa kukagua kifanyio kama kimenolewa ipasavyo!!!!!!!
Yamekua hayo..
Utamuazima na yeye,naona kimekuwa butu siku hizi
Udhalilishaji..
hiki kifanyio ukikigusa lazima unase.....
Mke wa mtu sumu..
kwa upepo uendavyo naona watanasa wengi!!!!!!!!!
Naangalia tu
Naweza msaidia kutimiza wajibu wake....hapo vipi.
Chunga tamaa mbaya
Vin Diesel we ni noma aiseee
Sweet
U-noma wangu u wapi tena....wewe usipokuwa upande wangu mambo yangu yote yataniharibikia....
Hata siamini
mie mbona niko upande wako toka day one............
Lady doctor, Baba V
madoctor wenzie wanafanyaga kweli,mgonjwa yuko mahututi anahitaji

tiba yake halafu yeye anakuwa hatokei
Hata wewe!?
Mwaaaah mwaaah....kamata mabusu hayo tasavali....

ulipofika ni pabaya. Heaven on earth unanisaliti. Tangia mwanzo nlikua najifanya sioni. Kwa taarifa yenu hata pm mlizo tumiana nmeziona. Kweli akufukuzaye hakuambii toka. Sikujua Heaven on earth kama ungefanya uasherati mbele ya macho yangu. Sijui nani kawaloga wanawake. Nmeudhika sana. Kumbe ndo mana naona nadharauliwa.
Asante sana Heaven on earth. Nlikupenda sana. Mia
 
Last edited by a moderator:
Ehee..







Naangalia tu..

Mwanzo wa muvi


Usaliti unaanza

Makubwa

Yamekua hayo..

Udhalilishaji..

Mke wa mtu sumu..

Naangalia tu

Chunga tamaa mbaya

Sweet

Hata siamini

Lady doctor, Baba V

Hata wewe!?


ulipofika ni pabaya. Heaven on earth unanisaliti. Tangia mwanzo nlikua najifanya sioni. Kwa taarifa yenu hata pm mlizo tumiana nmeziona. Kweli akufukuzaye hakuambii toka. Sikujua Heaven on earth kama ungefanya uasherati mbele ya macho yangu. Sijui nani kawaloga wanawake. Nmeudhika sana. Kumbe ndo mana naona nadharauliwa.
Asante sana Heaven on earth. Nlikupenda sana. Mia

kwa hiyo sa hivi hunipendi tena!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom