Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

narudia tena ruhusa yangu ya wewe kupeana na arif wako iko mikonon mwako

Huu mtihani sasa...nitawezaje kumtoa mwanakondoo kipenzi changu araruliwe na mbwa mwitu?
Ibrahimu aliweza...mie nachagua kushindwa.....hehe
 
yani ungejibu kivingine hakiyanani leo ungenikoma

umejibu nilivyokuwa nataka mimi...........,ur sooooo sweat
 
Back
Top Bottom