Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahahaaa... Basi tufichiane siri atii, nami yule prezidaa wangu mtarajiwa asije akajua kinachoendelea, sawa!!!![/QUO
usijali my dear! nna kifua sana!!! ila jemedari wako hawezi kukuacha kabisa!!! atapewa "tiba" na nani!!!!
yule jemedari wangu namuogopa, kuna siku alinipiga kofi mbele ya Mamndenyi eti kisa nimemmis x wetu.
Last edited by a moderator: