Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Naomba sababu kuntu za kutokuwasikiliza......inaonesha ulitumia nafasi yako vizuri sana...
we niamini tu kwa sasa, harafu nikisha fika hapo ndio nitakupa sababu
Naomba sababu kuntu za kutokuwasikiliza......inaonesha ulitumia nafasi yako vizuri sana...
Hebu niambie yote my dear.....
ngoja nimuite figganigga aje akutoe hapa kabla hujaniharibia
we niamini tu kwa sasa, harafu nikisha fika hapo ndio nitakupa sababu
Kama jambia la samurai...makali pande zote....
sosoliso anajua kuhusu huko kuumia kwako kisa ex wako!!!!!!!!!
Mengine atakumalizia mwenyewe.......,mie nimekupa tirela tu
mwe kuna ya kunoa tena vifanyio lol
my dear,,, na mwenzako Lady doctor.........kama mmesoma vizuri majibizano yangu na my ex ozzbend wangu mtajua kuna kitu very serious tunadiskashen pale, na wala sio kuhusu sisi kuwa exs. labda nimekosea kuileta hiyo sentensi huku, lakini si kitu!!
i and only i am verre married to my sosoliso, mbabezzz mkarrizzzz acha kabisa...and we are expecting!!!
Hujawahi kuona?
Inabidi tupange muda tumalizie yale mazungumzo yetu.......
Kama jambia la samurai...makali pande zote....
teheteheteeee (usimwambie my ozzbend basi)..........ila utamu au uchungu ya eksi unaujua baada ya kupeana vibuti.......are you zea?
sijawahi inabidi babe wangu nae anoe chakee
we upitie home baadae,leo siendi kokote......,
poa poa..ufanye kweli sasa!!! sio legelege kama ulivotufanyia.na charminglady!!!
teheteheteeee (usimwambie my ozzbend basi)..........ila utamu au uchungu ya eksi unaujua baada ya kupeana vibuti.......are you zea?
we upitie home baadae,leo siendi kokote......,
Uko peke yako?