Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Vin Diesel we ni noma aiseeePepo za kusi zimesimama kwa muda.....
Last edited by a moderator:
Vin Diesel we ni noma aiseeePepo za kusi zimesimama kwa muda.....
Jamani leo umenichomesha mahindi balaaa.....
hiki kifanyio ukikigusa lazima unase.....
Vin Diesel we ni noma aiseee
Lady doctor amekuwa mswahili sana...nadhan u doctor wake ni PhD ya Kiswahili...Khe Lady doctor kujifanya anachoma mafuta kumbe hata hajatokea!!!!!!!
shem wangu anabana hadi penalt aiseee
Dogo huku tupo watu wazima;
unapokuja uwe unabisha hodi kwanza.
Mzima lakini?
U-noma wangu u wapi tena....wewe usipokuwa upande wangu mambo yangu yote yataniharibikia....
Lady doctor amekuwa mswahili sana...nadhan u doctor wake ni PhD ya Kiswahili...
mie mbona niko upande wako toka day one............
Lady doctor sijamuelewa kwakweli....sijui kabanwa wapi maana kimya mpaka muda huu....madoctor wenzie wanafanyaga kweli,mgonjwa yuko mahututi anahitaji
tiba yake halafu yeye anakuwa hatokei
Lady doctor sijamuelewa kwakweli....sijui kabanwa wapi maana kimya mpaka muda huu....
Vin Diesel taratibu hakiya nane.....,mabusu ya subuh asubuhi haya mwe........Mwaaaah mwaaah....kamata mabusu hayo tasavali....
my wii Lady doctor ndio nini tana kumuacha kwenye mataa Vin Diesel
Hadi sasa siamini Lady doctor kaniacha kwenye mataa ya ubungo....
Vin Diesel taratibu hakiya nane.....,mabusu ya subuh asubuhi haya mwe........
My dear charminglady....hebu tukae tuyamalize basi......mbona unakuwa mkorofi hivi...:Cry:
Jamani leo umenichomesha mahindi balaaa.....
Khe Lady doctor kujifanya anachoma mafuta kumbe hata hajatokea!!!!!!!
shem wangu anabana hadi penalt aiseee