Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
nitakuja nae huko home kwako wii.
Hapana,tuna ukaguzi maalum wii!!!!!!!
nitakuja nae huko home kwako wii.
Haya nakusubiri wangu....hebu njoo uniondoe wasiwasi nilionao.....
Bahati mbaya tupa ninayo mie pekee.....
sosoliso anajua kuhusu huko kuumia kwako kisa ex wako!!!!!!!!!
shaka ondoa wangu, ngoja nikanyage mafuta nije!
hahahaaa... Basi tufichiane siri atii, nami yule prezidaa wangu mtarajiwa asije akajua kinachoendelea, sawa!!!![/QUO
usijali my dear! nna kifua sana!!! ila jemedari wako hawezi kukuacha kabisa!!! atapewa "tiba" na nani!!!!
Nimeshamsahaulisha kama aliwahi kuwa na mwanaume mwingine Heaven on earth..
Ndio maana msemo wa kupasha kiporo ukaletwa.....viporo na viheshimiwe...
heeeee makubwa!!! ushatia timu humu!!! Heaven on earth hapana chezea hii njemba!!!!
heeeee makubwa!!! ushatia timu humu!!! Heaven on earth hapana chezea hii njemba!!!!
Arushaone shemeji yangu hizo mbio za uraisi zitakukosesha mke!!!!!
Abiria ninachunga mzigo wangu babe Paloma.. Nshaona ex Van Diesel anakuja na mashairi yake ya kiporo kinapashwa.. Mie ninamuangalia tu..
+kunoa kifanyio,si unaona mke wa prezidaa alivyochanganyikiwa
ha ha ha.. Amechanganywa na kifanyia cha Van Diesel..?
ni kifanyio tu au kuna mengine