Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

sitaki hata kujua! itaniathiri zaidi---pole sana!!!

:focus: so umekuja kuoa tena wake wanne??? ma ex wako tunajua?!?!?

Maisha lazima yaendeleee.....
Tukirudi kwenye mada....natarajia kuoa wake wanne kwa mpigo....nafasi zi wazi...ma ex hawaruhusiwi kuomba nafasi...kuna nafasi ya kupasha kiporo...watabanana hapo
 
dah! we mbbbrayaaaah!!!
kifanyio umekinoa lakini?!?!?!
 
Back
Top Bottom