Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
kwa hiyo sa hivi hunipendi tena!!!!!!!!
Atachemka sana akisema hakupendi tena....
kwa hiyo sa hivi hunipendi tena!!!!!!!!
man to man, we funguka hapa charminglady atniambia baadae nikitoka kazini
mwe we kijana wewe haya maneno yatanifanya nisilale usiku mwenzio
Lady doctor...naangamia mwenziowii leo naenda naona Vin Diesel kama kazidiwa vilee
Arif, tafazali wengine utuachiage na sisi lol
Hali mbayaaaaaaaa....njoo na Baba Paroko kabsaaaaa:A S 2152:
Man to man.. charminglady used to be my number one gal...She still is...
heeeeh! Baba paroko tena wa nini na wewe?????
in ur head, physically she is... (do i have to say this again and again?) she is my wyfeeee.
Lady doctor...naangamia mwenzio
Tutakesha pamoja my dear...au vp
wii leo naenda naona Vin Diesel kama kazidiwa vilee
Tufanye ibada kabisaaaaaa
naona doz uliyopewa haijakupa ahueni, ngoja nije nikubadilishie doze
naomba ujiandae sana,hakikisha vitendea kazi ni imara kabisa wii........
leo usimuache kwenye mataa
naona doz uliyopewa haijakupa ahueni, ngoja nije nikubadilishie doze
Kaka yako kaja huku jamani,sijui nna kuna ndoa kweli niombeage wii
hapo sawa,mie usiku naogopaga mwenyewe
Inakuaje arif....we endelea tu...nimekuachia Mamndenyi