Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Simuoni hapa....au ndio anajifua
tulia wewe...... Naanda vifaa ujuee!
Simuoni hapa....au ndio anajifua
heee.... Kulala tena, nitajibuje kesho mbele ya muheshimiwa rais?
hata mi nakupenda maana siri twafichiana
Vin Diesel na Heaven on earth atleast figganigga anajaribu kuwafafanulia ni nani mnaemshika sharubuMkuu naomba uwapige nan ya dakika tano Vin Diesel na Heaven on earth kwa kuniharibia siku. Mia
C6 huyu Vin Diesel sijui kaenda wapi tena.........
Yani shaka ondoa, tutakuwepo.Kongosho nadhani ameshakusikia
Judgment na YNNAH tunapenda kuwaona hio siku
amu ingawa umepotea sana ila kwenye hii usikose
babu Asprin ni nani amekufungia kiasi hiki!!!!!!!
Ruttashobolwa na akanana wake Passion Lady msikose
baba kijacho sosoliso na mama kijacho Paloma ur warmly welcome Paloma kichefu chefu bado kinasumbua
Eli79 najua bado unamfatilia pacha wa my wii Lady doctor sijui harakati zimeishia wapi karibu sana!!!!!!
Ukaribisho bado unaendelea.....