Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
we muache wakati Vin Diesel yupo hapa pembeni
Shauri yake....mwambie ajaribu,atajilaumu mpaka kufa..
we muache wakati Vin Diesel yupo hapa pembeni
what do u mean? theoretically?I know she is your wifeeeeee...theoretically...:tape:
kaah! Mbona machale yananicheza nitarudi kweli???
wii simuachi kwenye mataa leo ila ameniambia niende na baba paroko naanza kuogopa mwenzio
wii simuachi kwenye mataa leo ila ameniambia niende na baba paroko naanza kuogopa mwenzio
Shauri yake....mwambie ajaribu,atajilaumu mpaka kufa..
Arif ndo makitu gani unaniachia wachoyo? Mi na wewe hatujafahamiana barabarani. Kizuri kula na nduguyo arif. Peana mimi Heaven on earth bana
Arif ndo makitu gani unaniachia wachoyo? Mi na wewe hatujafahamiana barabarani. Kizuri kula na nduguyo arif. Peana mimi Heaven on earth bana
My dear Heaven on earth Asprin anataka mkampitie shetani...hehe
in ur head, physically she is... (do i have to say this again and again?) she is my wyfeeee.
what do u mean? theoretically?
Baba paroko tena au ndio mambo ya kuombea chakula kabla hakijaanza kuliwa
usihofu nitakuombea msamaha ni shetani tu anatupitia hapa wii wangu.
niko hapa namuelewesha,huyu babe hanaga shida mda mwingine
Mkuu naomba uwapige nan ya dakika tano Vin Diesel na Heaven on earth kwa kuniharibia siku. Mia
ruhusa yangu iko mikononi mwako
Mkuu naomba uwapige nan ya dakika tano Vin Diesel na Heaven on earth kwa kuniharibia siku. Mia
Ina maana upo tayari?:A S-fire1:
Ibada muhimu sana kabla ya chakula cha usiku.....
Mkuu figganigga....mie na Heaven on earth tumeelewa mpango wa BIG RESULTS NOW....ndio tupo kwenye utekelezaji