Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

No wonder kuna binti mmoja hakimu alikuwa hana akili alipokiwa primary mpaka secondary lakini alipokija kiwa hakimu alipata utajiri mpaka akaenda kuoa sharo moja hivi akalitafitia na kazi kwenye mifuko ya pensheni ana ukwasi wa hatari.

Vijana someeni uhakimi unalipa sana bongo
Siyo kwa jpm. Inabidi wasubiri mpaka 2025 ukawa ikichukua nchi
 
Lazima uwekeze?

Ukizikalisha benki hujatakatisha fedha?
Mimi nimetoa mfano ili kumfanya muuliza swali aelewe,mwenye busara angetumia akili zake kufafanua kile anachokifahamu ili muuliza swali elewe lakini mjinga anahangaika na mtu aliyeelewa kilichoulizwa.Jitahidi kuwa na hekima walau kidogo humu sio facebook
 
Mi nilikua nashangaa masanja kuuza mpunga tu ununue X6 haha ha ha ila jpm namba nyingine janja janja zote kwishaa
 
Mimi nimetoa mfano ili kumfanya muuliza swali aelewe,mwenye busara angetumia akili zake kufafanua kile anachokifahamu ili muuliza swali elewe lakini mjinga anahangaika na mtu aliyeelewa kilichoulizwa.Jitahidi kuwa na hekima walau kidogo humu sio facebook


Mfano sio maana. Umesema hii ndio maana ya kutakatisha fedha, hukusema ni mfano.

Unaulizwa mashine ni nini, unajibu mashine ni mkokoteni. Tukifeli mitihani tunalalamika, halafu tunaongelea uchumi wa viwanda.
 
Laundering linatokana na laundry, sehemu ya kufulia nguo zitakate. Ni slang ya kizungu kuwa hela ambayo siyo halali ni ni hela ambayo ina uchafu, haikupatikana kihalali. Hela chafu na sheria inaikataza. Ina adhabu kubwa. So, unachofanya unaifua, kuitakatisha ili sheria isikuandame. Unaiweka kwenye biashara halali ionekane uliipata kwa njia halali! then from hiyo biashara halali unaizalisha bila kuandamwa na sheria.... something of tha nature ( though in a nutshell for a beginner)
Mchambuzi ongeza nami huwe siyaelewi vizuri haya mambo...
Umefafanua vizuri sana. Hakuna haja ya kuongeza kitu.
 
Mkuu kwani kesi yake imeisha? Imetolewa hukumu?
Ooh ndugu yangu we acha tu huyu Magu huyu... Eti katoa nusu ya hela aliyoiba 6billion maelekezo yakatoka sarakasi zikafanyika shtaka likabadilishwa kapewa dhamana.. Na yuko Arusha anajigamba balaa kuwa hawamuwezi hata wafanyaje.. Ndio Tanzania yetu hiyo..
 
Back
Top Bottom