mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,786
Leo ndo nimemjua.
nigekuwa mie ningekubali kukaa jela5 years 100 m sitoi walahAmekubali kutakatisha 1.18Bln
Adhabu kwa mujibu wa sheria hilo kosa
a) Kifungo kati ya miaka 5 kisichozid miaka 10 AU
b) Faini ya kati ya mili 100 mpaka 500
Hapo ndio nnapoipenda sheria.
Jamaa alimchukua dem wa papii kocha akamuoa kamzalisha fasta! Anaitwa Mirayesa mbombo alikuwa muimbaji na mcheza show wa Fm academia kaimba ktk ule wimbo wa Dunia kigeu geuJamaa wamesumbua sana enzi za JK alikua huyu pedeshee ndama,kulikua na papaa msofe,alex masawe na muzamili katunzi
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2.
Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014 jijini Dar es Salaam, alighushi nyaraka ya kibali cha kusafirisha madini na sampuli za madini kwa kusudi la kuonesha kuwa kampuni ya Muru Platnum Tanzania Investment Company Limited iliruhusiwa kusafirisha maboxi manne ya dhahabu yenye kilogramu 207 yenye thamani ya Dola za Marekani 8,280,000.00 kwenda Australia kwa kampuni ya Trade TJL DTYL Limited wakati akijua si kweli.
Chanzo: Nipashe
Maana yake ni money launderingNaombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Kama una hela hata bilioni moja utatoa kukaa jela miaka mitano si mchezo! Hela zinatafutwa ila kukaa jela hujui baada ya miaka mitano utatoka na hali gani.in
gekuwa mie ningekubali kukaa jela5 years 100 m sitoi walah
Kwa hiyo Mkuu mtu akikubambika kesi tu kwamba umetakatisha fedha hata kama unashinda porini au shamba inabidi ukubali tu ili ufungee yaishe!! Ndicho unachomaanisha?A
Amekubali kwa sababu hilo kosa halina dhamana , sasa hata kama anakataa si anaendelea kusota mahabusu tu , si bora haukumiwe ajue moja
Msofe katoka jela sasa hivi kimya.....Jamaa wamesumbua sana enzi za JK alikua huyu pedeshee ndama,kulikua na papaa msofe,alex masawe na muzamili katunzi
Mahakama ya mafisadi ni kitengo tu cha mahakama kuu hivyo wanaendelea na kazi zingine za mahakama kuu lkn kuna kesi nyingi za kifisadi zipo kwenye hatua za awali.Mahakama ya mafisadi inatumika kama stoo ya mkaa.
nooo zikae kwanza na mie nijifunzeKama una hela hata bilioni moja utatoa kukaa jela miaka mitano si mchezo! Hela zinatafutwa ila kukaa jela hujui baada ya miaka mitano utatoka na hali gani.
Laundering linatokana na laundry, sehemu ya kufulia nguo zitakate. Ni slang ya kizungu kuwa hela ambayo siyo halali ni ni hela ambayo ina uchafu, haikupatikana kihalali. Hela chafu na sheria inaikataza. Ina adhabu kubwa. So, unachofanya unaifua, kuitakatisha ili sheria isikuandame. Unaiweka kwenye biashara halali ionekane uliipata kwa njia halali! then from hiyo biashara halali unaizalisha bila kuandamwa na sheria.... something of tha nature ( though in a nutshell for a beginner)Google money laundering
Ushahidi pia umembanaKwa hiyo Mkuu mtu akikubambika kesi tu kwamba umetakatisha fedha hata kama unashinda porini au shamba inabidi ukubali tu ili ufungee yaishe!! Ndicho unachomaanisha?
Laundering linatokana na laundry, sehemu ya kufulia nguo zitakate. Ni slang ya kizungu kuwa hela ambayo siyo halali ni ni hela ambayo ina uchafu, haikupatikana kihalali. Hela chafu na sheria inaikataza. Ina adhabu kubwa. So, unachofanya unaifua, kuitakatisha ili sheria isikuandame. Unaiweka kwenye biashara halali ionekane uliipata kwa njia halali! then from hiyo biashara halali unaizalisha bila kuandamwa na sheria.... something of tha nature ( though in a nutshell for a beginner)Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Msofe katoka jela sasa hivi kimya.....
Alex kakikmbia nchi....
Muzamili......bado
Umemaliza sina cha kuongeza.Kutumia njia ya udanganyifu ili kuzihalalisha fedha zilizopatikana kwa njia haramu.
Kwa mfano:-
Unauza ngada, mapato yatokanayo na ngada unafungulia bureau de change. Sasa mapato yatokanayo na biashara ya bureau de change yatakuwa halali yenyewe pamoja na mtaji wake.
Wengine ongezeeni mifano.
in
gekuwa mie ningekubali kukaa jela5 years 100 m sitoi walah





Money laundering.Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Kwa Magufuli huyu,watalimia menoplay guilty? Itakuwa maji yalimfika shingoni au kulikuwa na evidence ya kutosha! I wonder ile miti aliyoiegemea kwa miaka mingi imekatika au?