Ile show off yake ndo imemponza,na hili watu kama kina Diamond hawataki kujifunza,unajifanya una hela kwanini usifanye ishu zako kimya badala yake unatafuta sifa kwa watu,matokeo ndo kama hayo diamond kudaiwa kodi milion 400,
yaani mtaji kunyonga kiuno aafu ulipe kodi milion 400,
huyu nae kujionyesha ana pesa ndo kumemponza walipomkamata na kosa la kugushi wakamfilimba money laundry charge ili asitokemo ndani,
usikute hata dhahabu ilikuwa ya watu wengi wameungana kusafirisha kwakuwa yeye ndo wanamjua mishen town akapewa kusimamia show ya kuchonga vibali