babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,905
Hapo mbona ni hatua 5 tuDuka lake amelihamisha kutoka maeneo ya Club Masai Kino,limesogea Mwananyamala Komakoma
Hapo mbona ni hatua 5 tuDuka lake amelihamisha kutoka maeneo ya Club Masai Kino,limesogea Mwananyamala Komakoma
Ni kweli,na lipo upande huohuo wa kushoto kama unatokea StudioHapo mbona ni hatua 5 tu
mafisadi wamekosa mwanya
Huyo muuza sura tu hajawahi kuwa pedejee, ndama mwenyewe dili zake ni juzi hakuwa makini tu ndo mana kashtukiwa,kuna watu wamepiga sana hela hapo kwenye madini.hawakuwahi kustukiwa, muulize Jack Pemba atakwambia.Kizaizai nae kachoka yuko kajificha kigamboni sehemu inaitwa kisiwani
Ukipigwa ule wimbo wa fally pupa ndio utajua pesa za ngada na utapeli zinarushwa juuJamaa wamesumbua sana enzi za JK alikua huyu pedeshee ndama,kulikua na papaa msofe,alex masawe na muzamili katunzi
nigekuwa mie ningekubali kukaa jela5 years 100 m sitoi walah
Kamalizaje ile kesiMsofe katoka jela sasa hivi kimya.....
Alex kakikmbia nchi....
Muzamili......bado
Ukikaa wiki mbili tu utatamani kutoa zaidi ila utakua umesha chelewa ila nadhani kinacho kutesa hupajui jelanooo zikae kwanza na mie nijifunze
Mkuu kwanza hapa umeenda mbali, kinachosumbua wengi hawajawahi kupelekwa hata ofisi ya kijiji hivyo hawaelewi jela kukoje, aliyeko jela yuko tayari kutoka kwa lolote sasa wewe kesi yako ina hukumu ya faini useme eti bora nikae jela[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kwa Wajanja wa Mjini 100 Million ndani ya Miezi Sita wanaweza wakazipata, sasa Ukake Jela Miaka yote hiyo ukitoka unakuwa Mgeni wa Jiji na Pengine tayari 'Mke wa Watu'!
Nani kakudanganya kua watu wakifungwa hukaa nusu ya vifungo vyao wakati tuna watu wamefungwa miaka saba na wakakaa yote shida nikwamba mnashindwa kufatilia vizuri sheriahujui hata unachoongea ..kakiri ili kurahisisha mambo ..hapo nafungwa miaka 3 au mitano akifungwa 3 anakaa 1.8 months mchezo umeisha anarudi kula mabilioni yake ...
AmetokaHivi yule mume wake Kajala ambaye naye alikuwa na kesi kama hii ya utakatishaji fedha sijui kama ametoka?
Na sio play guilty ni pleaded guilty?????Play guilty????? Ungeandika kiswahili tungekuelewa tu kaka. Lakini hiki ulichoandika hapa!!! Mungu anakuona...!!!
Alafu hizo 100m unafungua fixed accnigekuwa mie ningekubali kukaa jela5 years 100 m sitoi walah
Mkuu huyu BUYE ni nani nimekutana na gari yake plate number Imeandikwa BUYE jea bado anatamba mjini.Matelephone nae kaisha tepeta bado jamaa flani anajiita BUYE siku zake zinahesabika
Sio lazima kifungo kuna fine pia ambayo ndama anajuw ni sh. ngapi na anaweza kuilipa, ana akili sana jamaa. mwenye pesa hafungwi easily.Kesi ya money laundering (kutakatisha pesa) ukitiwa hatiani ni kifungo jela miaka 4 au 7 sasa huyu kama kweli amekiri atakuwa ametumia technique koz angeweza kukaa rumande kwa mrefu zaidi ya miaka tajwa kama yanayomkuta wakili msomi Mwala kule Arusha yupo rumande mwaka wa saba mfululizo mpaka sasa kwa kosa hilohilo.