Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

" Money laundry"

Simply, pesa chafu kununua kitu halali then kukiuza na kupata pesa safi!

Okay.

Kwa hiyo ukitumia pesa chafu kununua asset kama hoteli, halafu ukabaki nayo, isiiuze. Hapo ni poa, huna kosa la kutakatisha?
 
Ile show off yake ndo imemponza,na hili watu kama kina Diamond hawataki kujifunza,unajifanya una hela kwanini usifanye ishu zako kimya badala yake unatafuta sifa kwa watu,matokeo ndo kama hayo diamond kudaiwa kodi milion 400,
yaani mtaji kunyonga kiuno aafu ulipe kodi milion 400,

huyu nae kujionyesha ana pesa ndo kumemponza walipomkamata na kosa la kugushi wakamfilimba money laundry charge ili asitokemo ndani,

usikute hata dhahabu ilikuwa ya watu wengi wameungana kusafirisha kwakuwa yeye ndo wanamjua mishen town akapewa kusimamia show ya kuchonga vibali
 
Kutumia njia ya udanganyifu ili kuzihalalisha fedha zilizopatikana kwa njia haramu.

Kwa mfano:-
Unauza ngada, mapato yatokanayo na ngada unafungulia bureau de change. Sasa mapato yatokanayo na biashara ya bureau de change yatakuwa halali yenyewe pamoja na mtaji wake.

Wengine ongezeeni mifano.
Serikali kutengeza Noti Mpya halafu inatumika na Noti ya Zamani inaendelea kutumika kwa zaidi ya Miezi sita na kutokea nchi kutumia Noti Mbili za thamani sawa kwa Machapisho tofauti na kupitiliza miaka ikiwa hivyoo.
 
Siwajahi kujaza fomu ya kufungua akaunti benki ambayo inauliza pesa hii umeipata pataje. Benki gani hiyo?

Kwa hiyo definition ya kutakatisha fedha inazidi ku evolve. Kutunza benki hela chafu nayo ni kosa.
Unaulizwa chanzo cha mapato yako unachokitegemea.
Ina maana kama umejaza kuwa wewe ni mwalimu, tunatarajia kuwa mapato yako halali kwa mwezi ni mshahara pamoja na marupurupu yanayoakisi ngazi yako ya mshahara i.e TGS...

Hutaeleweka ukipeleka milioni mia kadhaa!!! labda kama umeuza mazao (receipt za mauzo utapaswa kuzitunza) au umekopa bank.

Mamlaka zikihoji uwe na justification ya pesa zako. Ukishindwa basi uharamu wa pesa zako unakuwa open and vivid clear.
 
Serikali kutengeza Noti Mpya halafu inatumika na Noti ya Zamani inaendelea kutumika kwa zaidi ya Miezi sita na kutokea nchi kutumia Noti Mbili za thamani sawa kwa Machapisho tofauti na kupitiliza miaka ikiwa hivyoo.
Huo nao ni utakatishaji fedha.
 
Aiseeeh,
Naona kama vile, ameruka majivu na kukanyaga moto
 
Amekubali kutakatisha 1.18Bln

Adhabu kwa mujibu wa sheria hilo kosa
a) Kifungo kati ya miaka 5 kisichozid miaka 10 AU
b) Faini ya kati ya mili 100 mpaka 500

Hapo ndio nnapoipenda sheria.
....Kwa hiyo akiteta vema na hakimu anapigwa faini then huyoo mtaani...
 
Jamaa alimchukua dem wa papii kocha akamuoa kamzalisha fasta! Anaitwa Mirayesa mbombo alikuwa muimbaji na mcheza show wa Fm academia kaimba ktk ule wimbo wa Dunia kigeu geu
hapo kulikuwa hakuna jinsi kwani papii yuko ndani
 
Unaulizwa chanzo cha mapato yako unachokitegemea.
Ina maana kama umejaza kuwa wewe ni mwalimu, tunatarajia kuwa mapato yako halali kwa mwezi ni mshahara pamoja na marupurupu yanayoakisi ngazi yako ya mshahara i.e TGS...

Hutaeleweka ukipeleka milioni mia kadhaa!!! labda kama umeuza mazao (receipt za mauzo utapaswa kuzitunza) au umekopa bank.

Mamlaka zikihoji uwe na justification ya pesa zako. Ukishindwa basi uharamu wa pesa zako unakuwa open and vivid clear.
Hivi nikiokota dhahabu shambani kwangu ya kilo ishirini nikaenda kuiuza kwa wanunua madini na mimi sina efd ya kuwapa kuwa nimeauzia dhahabu lakini tukaandikishana kwa karatasi za kawaida ! Na mimi ela zangu zitakuwa chafu!?
 
Back
Top Bottom