Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

Yes.. Huyo huyo.. Yupo anatanua tuuu na, mitusi juu kwa serikariiii ya awamu ya tanooo..
Lema yupo keko nimemuona juzi tu hajatoka na yule muarabu wake na wafanyakazi wengine wa tra wameongezwa kwenye kesi.
 
Jamaa wamesumbua sana enzi za JK alikua huyu pedeshee ndama,kulikua na papaa msofe,alex masawe na muzamili katunzi
Mijitu yenye pesa zao majina yao ni kurusha tu kwenye masebene na kina christian bella..utaskia "Muzaamil katunzi kaka yako nakutakia maishaa mema na molaa....akusimamiee..katika kazi zote...." in bella voice[emoji443] [emoji444]
 
Kesi ya money laundering (kutakatisha pesa) ukitiwa hatiani ni kifungo jela miaka 4 au 7 sasa huyu kama kweli amekiri atakuwa ametumia technique koz angeweza kukaa rumande kwa mrefu zaidi ya miaka tajwa kama yanayomkuta wakili msomi Mwala kule Arusha yupo rumande mwaka wa saba mfululizo mpaka sasa kwa kosa hilohilo.
Wakati mwingine mtu anakana kwa sababu ukikubali na kuhukumiwa basi kuna baadhi ya vitu huwezi fanya au kupewa kwa vile sheria inazuia mtu aliewahi kukutwa na kosa jinai na kufungwa jela zaidi ya miezi sita.
 
NGOJA TUONE HUKUMU YAKE ITAKUWAJE SI AMEKIRI?

OVA
 
Ile show off yake ndo imemponza,na hili watu kama kina Diamond hawataki kujifunza,unajifanya una hela kwanini usifanye ishu zako kimya badala yake unatafuta sifa kwa watu,matokeo ndo kama hayo diamond kudaiwa kodi milion 400,
yaani mtaji kunyonga kiuno aafu ulipe kodi milion 400,

huyu nae kujionyesha ana pesa ndo kumemponza walipomkamata na kosa la kugushi wakamfilimba money laundry charge ili asitokemo ndani,

usikute hata dhahabu ilikuwa ya watu wengi wameungana kusafirisha kwakuwa yeye ndo wanamjua mishen town akapewa kusimamia show ya kuchonga vibali
Hivi kwann wakili wake hasikatae hayo mashtaka ? Yaani aseme hiyo Ni fraud Na sio money laundering ( hili iwe money Ni laxima iwe Na stages Kama Tatu au nne ) eg placement,layering, intergration
 
asilimia 99 ya wanadamu hawana maadili,wengine wezi,dhulmati,tapeli etc
so why wengine hawalipi,
mobutu alikuwa mwizi sana wa pesa za umma,lakini alikufa kwa uzee na ugonjwa,
idd amini alikuwa anasemwa anakula roho za watu,amemu outlive nyerere,kafa kwa uzee.
George bush kaua wairaq milion moja bado anadunda licha ya kuwa ana zaidi ya miaka 80.
Kuna watu wema sana hapa duniani ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana.
Japo pia wapo walioishi kwa amani mpaka mungu akawachukua,
kwahiyo sio lazima alipe,ni mipango ya mungu tu
Umengea point mkuu, ingekua dhuluma inalipwa hapa hapa basi marais wa marekani wangeipata fresh
 
Bahati mbaya mtu kujua kosa lake ni vema ina maana akuju. (Kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa) please tumsamehe
 
Back
Top Bottom