Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,517
- 48,828
Uhakimu hausomewi mkuu, inayosomewa ni sheria.No wonder kuna binti mmoja hakimu alikuwa hana akili alipokiwa primary mpaka secondary lakini alipokija kiwa hakimu alipata utajiri mpaka akaenda kuoa sharo moja hivi akalitafitia na kazi kwenye mifuko ya pensheni ana ukwasi wa hatari.
Vijana someeni uhakimi unalipa sana bongo