Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
hakun akulipa ...wajanja wamemfundisha kuwa akiri mamabo yaishe maana hiyo kesi asingeweza kushindaSo zile pesa analipa au ndio bai bai?
hakun akulipa ...wajanja wamemfundisha kuwa akiri mamabo yaishe maana hiyo kesi asingeweza kushindaSo zile pesa analipa au ndio bai bai?
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2.
Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014 jijini Dar es Salaam, alighushi nyaraka ya kibali cha kusafirisha madini na sampuli za madini kwa kusudi la kuonesha kuwa kampuni ya Muru Platnum Tanzania Investment Company Limited iliruhusiwa kusafirisha maboxi manne ya dhahabu yenye kilogramu 207 yenye thamani ya Dola za Marekani 8,280,000.00 kwenda Australia kwa kampuni ya Trade TJL DTYL Limited wakati akijua si kweli.
Chanzo: Nipashe
Kahamishia wapi mkuu, nataka nimchangieMwanzoni nilikua nashangaa kwamba boutique zinalipa namna hile kumbe majanga sana Mambo ya chid Mapenzi pale naona duka kaliamisha kodi anadai kubwa
Kutakatisha fedha ni tafsiri ya kienyeji toka katika msemo wa kiingereza "Money laundering". Nitakupa mfano ili kukupa maana yake.Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Huyu kijana Robert mbetwa alikuwa na msala mwingine huu 2011 sijui uliishaje akaingia na huu wa 2017. Mja asili haachi asili.Dah namuona mwananguu mbetwa robert pembeni hapo... daaah jamaaa kapakaza sana gundi mademu zetu pale IFM kwa hizi hela walizopiga TTCL
Ukitoka Big G unaikuta buku 10.Kama una hela hata bilioni moja utatoa kukaa jela miaka mitano si mchezo! Hela zinatafutwa ila kukaa jela hujui baada ya miaka mitano utatoka na hali gani.
Kupata hela kwa njia haramu halafu baada ya hapo kuziingiza ktk biashara halali kwa nia ya kupoteza chanzo chake. Ni jinaiNaombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Labda alimaanisha "plea of guilty"?????Play guilty????? Ungeandika kiswahili tungekuelewa tu kaka. Lakini hiki ulichoandika hapa!!! Mungu anakuona...!!!
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2.
Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014 jijini Dar es Salaam, alighushi nyaraka ya kibali cha kusafirisha madini na sampuli za madini kwa kusudi la kuonesha kuwa kampuni ya Muru Platnum Tanzania Investment Company Limited iliruhusiwa kusafirisha maboxi manne ya dhahabu yenye kilogramu 207 yenye thamani ya Dola za Marekani 8,280,000.00 kwenda Australia kwa kampuni ya Trade TJL DTYL Limited wakati akijua si kweli.
Chanzo: Nipashe
Mi naona hii case ni ya kugushi vibali,
labda kama dhahabu aliiba au aliipata kwa utapeli ama kainunua kwa pesa za madawa ya kulevya.
Lakini kama dhahabu kainunua kwa pesa halali akataka kuisafirisha akagushi vibali labda ili kuepuka kodi,
sijana laundry hapa au labda money laundry ina maana pana kuliko nayoijua
Itategmea na hukumu hapo juuSo zile pesa analipa au ndio bai bai?
Chezea serikali na nguvu zake[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Msofe katoka jela sasa hivi kimya.....
Alex kakikmbia nchi....
Muzamili......bado
Wewe m-punga si utulie uandike unawah wap?kaa na yako ya kitajiri pim.bi wewe mawazo ya kimasikini ni yapi?
Ameiacha Yanga haina mdhaminiPedeshee ndama mtoto wa ng'ombe daah kweli wakati ukuta hujui la mbeleni
Sidhani kama aliuza hiyo dhahabu....alifoji documents tuMi naona hii case ni ya kugushi vibali,