ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
Safi sn dada yng!
mujuni lwambo Ng'wamapalala andaeni Maji na Kaniki nyeusi na ngozi na mkuki na kina mwallu andaeni Maji na Yule kijana mtundu Kiranga aandae maziwa Masonga na samli mtoto muuza ubuyu tunataka tumtoe nje leo! Katimiza siku za Kutoka nje!
ng'wana @ong'wa kulwa simamia hili zoezi!
Ntuzu maandalizi bado kabisa hapa naona keki,ubuyu, wapi sasa Matobolwa?
