muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Wapendwa wangu wanaJF,
Ninayo furaha kubwa kuwaarifu ya kuwa leo ni siku ninayoadhimisha miaka kadhaa tangu nizaliwe!
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kunipendelea kwa kunipa nafasi ya kuja kuishi hapa duniani mpaka umri huu kwa namna aliyoona inampendeza yeye kwani wapo wengi waliofariki kabla ya kufikisha umri kama wangu! Naomba azidi kunipa nguvu ili niweze kuishi kwa kumpendeza yeye kwani dunia hii imejaa dhoruba nyingi sana!
Pili,nawashukuru wazazi wangu baba na mama kwa kunilea katika malezi mema ambayo mpaka sasa yananiongoza kuishi vyema na jamaa, rafiki, ndugu pamoja na watu wote kokote niendako, thank you so much mama and my late daddy (Hope umepumzika kwa amani huko uliko, R.I.P daddy! I will miss you so much while living your best teachings!)
Tatu nawashukuru sana watu wote walio karibu na mimi ndugu, jamaa na rafiki zangu ambao neno ama tendo walau moja tu lililo dogo kama mbegu ya aradani limeweza kuchipua na kumea ndani yangu na kuzaa tunda la mafanikio kwangu, I really love you all!
Na mwisho kabisa, nawashukuru ndugu zangu special from Jamii Forum, JF is really a nice and best place to be in the world! Hapa napata furaha na mawazo/ushauri either kupitia maulizo yangu ama ya wana JF wenzangu, aminini nawaambia, nyinyi mmehusika sana mimi kufika umri huu either kwa ushauri wenu ama kunichekesha na kunifurahisha hivyo kuniongezea siku zangu za kuishi!
Asandu sana ndugu wenzangu makaribhu huku kwetu tulye mayobha (maboga) na makiliwa mengine bhila gusahau na masamaki mengine masato, nkalango na masangu! Nina wapendaga sana bhagosha na wakima wa hapa hapa kwetu, nasema hapa hapa JF iliyo mbele ya lilaputopu langu!
CC. Limpenzi langu King'asti na libaba mukwe langu Mtambuzi !
Madada yangu Evelyn Salt, Kongosho, mwallu na limume lake li Mentor eti nalo ni lishemegi langu!
Makaka yangu Pasco, makoye78, Ntuzu, Mwanamalundi (mzee wa hayatuhusu, ahahahaaaa!), Erythrocyte, cybertech, Simiyu Yetu (hapa toa siasa zako bhageshi), MziziMkavu, Nyani Ngabu
Bila kuwasahau ma-comediani benteke (Acha kuvaa G-string ya demu wako) na Bujibuji !, Na limtani langu lidada la kutoka siku ya gulio katerero charminglady
Ma-JF niliyoyataja ni machache machache tu niliyoyakumbuka kwa haraka haraka wajameni!
For sure, from the bottom of my heart, I LOVE YOU ALL JFs BECAUSE YOU REALLY MAKE MY DAYS!
Long live muuza ubuyu, long live JF!
Ng'wabheja sana!