Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Mh, sasa huyu jamaa yangu sijui ana matatizo gani! Mbona anakataliwa na ma-baby wote?Ebu ninong'oneze ladyfurahia, jamaa ana kibamia nini!? Make natupia ndoana zangu hazinasi kabisa, lol!

Huyo ndio shemiji Yako! Inabidi umzoee Maana anapenda nimbembeleze weeeee ata mbele za watu! Yani kukulia kwake India Au Bombay mmmmmmh kunanipa tabu kweli! Lkn hivyo hivyo navumilia Maana nimemchagua MWENYEWE!

Bby wangu ladyfurahia Njoo basi nikwambie kitu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom