Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Hahahaaa... Ukizidiwa ujanja na akina NGOSHA, Unaruhusiwa kuitumia hii tekniki Mkubwa. Nina nguvu za kutosha sana tu kumuweka begani huyu raia.
Ntuzu naye kasema kwao nao huwa wana-PULA..... sasa atakayewahi kubutua ndio anakula nyama.


Hahahahahaaaa hahaha sasa km hawezi kubeba mzigo begani na kusepa nao Itakua imekula kwake!

Eti akijidai kuchukua KHANGA ili miss chagga aifate kwakwe ndio iwe imetoka Hiyo atakua kachemsha!

Ngoja tumuoneshe kz inavyofanywa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa... Ukizidiwa ujanja na akina NGOSHA, Unaruhusiwa kuitumia hii tekniki Mkubwa. Nina nguvu za kutosha sana tu kumuweka begani huyu raia.
Ntuzu naye kasema kwao nao huwa wana-PULA..... sasa atakayewahi kubutua ndio anakula nyama.

Mkuu Tized achana na huyu Ntuzu anataka kuchafua mambo hapa sisi tuko kwenye uzi wa birthday ta muuza ubuyu yeye anataka tuhame tuanze kuongelea mambo ya miss chagga hapa tuache kwenda kula cake aise

Asante sana mkuu Mr Rocky! Mwenyezi Mungu akubariki sana nawe pia!

Asante sana mkuu muuza ubuyu
Kumbe wewe nawe ni ngosha
Aise ukipita hapa kijijini kwangu Hungumalwa unisalimie naweza nikakupa kijikapu cha mpunga uwapelekee watoto mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa... Ukizidiwa ujanja na akina NGOSHA, Unaruhusiwa kuitumia hii tekniki Mkubwa. Nina nguvu za kutosha sana tu kumuweka begani huyu raia.
Ntuzu naye kasema kwao nao huwa wana-PULA..... sasa atakayewahi kubutua ndio anakula nyama.

Asante sana mkuu Mr Rocky! Mwenyezi Mungu akubariki sana nawe pia!

Wabheja sana mkuu Mr Rocky! Asante sana kwa dua zako nami ninaomba Mwenyezi Mungu anijalie kama wapendwa wangu mniombeavyo! Mbarikiwe sana!


Asante sana muuza ubuyu
naamini Mungu sio mchoyo na utafanikiwa katika kile ufanyacho na maombi yetu ni kwako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu muuza ubuyu
Kumbe wewe nawe ni ngosha
Aise ukipita hapa kijijini kwangu Hungumalwa unisalimie naweza nikakupa kijikapu cha mpunga uwapelekee watoto mkuu
Asante pia mkuu Mr Rocky! Siku moja nitapia kwani Ng'hungumalwa napajua, uandae pia na njugu mawe kaka!
 
Last edited by a moderator:
muuza ubuyu sijakusoma hapa unamualika wapi miss chagga na nafasi yake unasema iko wapi eti sijakusoma
Mie ninavyojua ni laazizi yake na Ntuzu, sasa ntuzu yupu hapa kaboreka na kadi yake ya double, meza yake imejaa vinywaji lakini ntuzu akiwa amepiga suti safi zaidi ya hiyo yako (avatar) anamsubiria kwa hamu!
 
Last edited by a moderator:
Mie ninavyojua ni laazizi yake na Ntuzu, sasa ntuzu yupu hapa kaboreka na kadi yake ya double, meza yake imejaa vinywaji lakini ntuzu akiwa amepiga suti safi zaidi ya hiyo yako (avatar) anamsubiria kwa hamu!

Umechemsha vibaya sana mkuu
Laazizi wa Ntuzu ni Karucee na anajua kabisa hali ya Karucee kwa sasa miss chagga ni laaziz wangu na nampenda sana ila Ntuzu analeta kelele zake eti ametoa mahari wakati hata kumuona binti mwenyewe hajawahi ila wazazi wake utafiti walikutana huko mtaani wakapeana mahari wakati mtoto kafa kwangu hapa
 
Last edited by a moderator:
Asante shemegi Mentor, kuhusu King'asti naomba usihoji kwani mimi kukupa mke hakukupi madaraka ya kuhoji!Halafu nani kakwambia uajili mke wangu kama editor wako? Sina amani kabisa kwani nyinyi na hiyo profession yenu inawafanya muwe smart na ukichanganya na swaga ulizompatia dada yangu unaweza ukaninyang'anya mke kabisa! Naomba umuache kabisa King'asti kwani nilipambana mno kumng'oa Paw!

Ah ah ah nkwela hatuaminiani tena!???

Hahahahaaaaaaa, ujana maji ya moto nkwela!

Funga macho jitose uoge...utaungua kidogo lakini utatakata, baadaye yatapoa tu!!!
 
Back
Top Bottom