Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

nipo binamu majukumu ya kifamilia yamenibana ile mbaya bestito si unajua tena ..............🙂

huyo msukuma kwanini analeta matatizo kwako kwanini?
hajui kuwa una mabinamu wengi kama GOLI la beki wa Excel wa mozambique
hebu mwite nimtoe ushamba wa kushangaa na kuvaa rr.jpg
mmchana kweupe utafikiri wanakwenda mazoezi ya kupimana uwezo wa kusikiliza taarifa ya habari ya RTD

cousin usithubutu kwenda rockcity utabaki unacheka kila kila kona kwani wameyavaa utadhani wako studio wanarekodi songi hahahhahahhaaaaaaaaaa
Binamu ladyfurahia salama kabis awewe
Umepotea sana aise
Tupo bana kuna Msukuma mmoja anampenda miss chagga hapa ndo analeta mambo yake ya shamba huko

muuza ubuyu hivi na wewe umeingia kwenye mtanange huu wa kumpigia debe mwenzako Ntuzu
Haya bana undugu kufaana na sio kufanana
 
Last edited by a moderator:
nipo binamu majukumu ya kifamilia yamenibana ile mbaya bestito si unajua tena ..............🙂

huyo msukuma kwanini analeta matatizo kwako kwanini?
hajui kuwa una mabinamu wengi kama GOLI la beki wa Excel wa mozambique
hebu mwite nimtoe ushamba wa kushangaa na kuvaa View attachment 165864
mmchana kweupe utafikiri wanakwenda mazoezi ya kupimana uwezo wa kusikiliza taarifa ya habari ya RTD

cousin usithubutu kwenda rockcity utabaki unacheka kila kila kona kwani wameyavaa utadhani wako studio wanarekodi songi hahahhahahhaaaaaaaaaa

ladyfurahia umenikata ngebe! Yaani kwanzia leo nimekoma!

Yani umeniweza duh!

Cc: muuza ubuyu Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeee, hapa umeua! Nimechekaje, dah!
nipo binamu majukumu ya kifamilia yamenibana ile mbaya bestito si unajua tena ..............🙂

huyo msukuma kwanini analeta matatizo kwako kwanini?
hajui kuwa una mabinamu wengi kama GOLI la beki wa Excel wa mozambique
hebu mwite nimtoe ushamba wa kushangaa na kuvaa View attachment 165864
mmchana kweupe utafikiri wanakwenda mazoezi ya kupimana uwezo wa kusikiliza taarifa ya habari ya RTD

cousin usithubutu kwenda rockcity utabaki unacheka kila kila kona kwani wameyavaa utadhani wako studio wanarekodi songi hahahhahahhaaaaaaaaaa
 
hayo yote ni kuleta furaha, amani na upendo wa TEAMRAFIKI katika siku hii muhimu kwako bestito na kukuondolea upweke ulionao ili ufurahi pamoja nasi marafiki zako mtandaoni KWANI UMEONAJE BESTITO SI UMEFURAHI AU?
Aiseeeee, hapa umeua! Nimechekaje, dah!
 
Hahahahaaaaaaaaaa, mjini kote huko, hutapajua mtani! Nikikupeleka wala hutakumbuka njia ya kurudi kwako! Ni kijijini hasa!
haaaa pale karibu na kona ya nyakato ukietelemkia bwiru nini au sio pale

oky nimeelewa ni pale ilemela karibu na hotel ya LTHP AU?
 
Kwa kweli nimeinjoy kila sekunde ya siku ya leo! Thanks to my JF friends!

Back
Top Bottom