Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Ahahahahah
Leo nimeweka mbavu za spea sezae
Ha ha ha vzr dada yng! Ona Mamndenyi alivyo mpatia zawadi muuza ubuyu
Mamndenyi Una vituko?!!!!
Last edited by a moderator:
Ahahahahah
Leo nimeweka mbavu za spea sezae
Happy birthday to you muuza ubuyu may our almighty God bless you abundantly so you can live to blow more than 120 candles...... King'asti sina ugomvi na wewe ila kuwa makini sana na Evelyn Salt sina huakika kama ni dada yake kweli. Ni hilo tu.
Tized Mr Rocky utafiti miss chagga mpenzi wng, miss neddy Excel Shemeji sungura1980 Mokoyo kiwatengu
OLESAIDIMU
Leo ni siku ya kuzaliwa muuza ubuyu
Tized Mr Rocky utafiti miss chagga mpenzi wng, miss neddy Excel Shemeji sungura1980 Mokoyo kiwatengu
OLESAIDIMU
Leo ni siku ya kuzaliwa muuza ubuyu
Mungu akushibishe mema ya nchi ukaone wana wa wanao.wanao wakawe heri kati ya mataifa na mkeo akabarikiwe duniani....
Neema na fadhiri zikufuate siku zote za maisha yako,Mungu akakuweke mahali pajuu,vinavyotamaniwa na mataifa yote vikakujie ili uache kuuza ubuyu.
Ntuzu hujaniita ila nimepata ufunuo! chezea watumishi wewe, mhala ahene Ntuzu.
Mungu akushibishe mema ya nchi ukaone wana wa wanao.wanao wakawe heri kati ya mataifa na mkeo akabarikiwe duniani....
Neema na fadhiri zikufuate siku zote za maisha yako,Mungu akakuweke mahali pajuu,vinavyotamaniwa na mataifa yote vikakujie ili uache kuuza ubuyu.
Asante sana brother ng'wana ong 'wa kulwa ! Nakushukuru sana kwa matakwa yako kwangu, na mwenyezi Mungu ayafanye haya yote na zaidi kwako pia!
Kula ubone ngosha