ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
haaa kweli best unanichekesha mm tena wa kupotea
wakati nikiona tu
inanipa alama ya mwelekeo niliyotoka
si ndio nyie huwaga mkitoka shamba na baiskeli huwaga mnambeba mtu pembeni iili aangalie nyuma kama gari linatokea lisijekuwakandamiza au?
wakati nikiona tu
inanipa alama ya mwelekeo niliyotokasi ndio nyie huwaga mkitoka shamba na baiskeli huwaga mnambeba mtu pembeni iili aangalie nyuma kama gari linatokea lisijekuwakandamiza au?
Hahahahaaaaaaaaaa, mjini kote huko, hutapajua mtani! Nikikupeleka wala hutakumbuka njia ya kurudi kwako! Ni kijijini hasa!
