Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Hahahaaaaaa, natolile nkoyi lyaniki igololoku gwenga kayiswe ntuzu! Niyo nizugelile hang'wane na mana ane abhili masumba masumba gete agong'wikola Sebha!

Eng'ingo Yayo igololokile gete nhiga! Lyanike lya kedusi bhabi lyakoyo siminza gete mbogoma yengaga kwi'dema!
 
Last edited by a moderator:
WineCake.jpg
WineCake.jpg muuza ubuyu happy birthday mkuu
Uishi kuwasha mishumaa 101 ya maisha ya furaha na amani
CC Ntuzu, Tized, Mndengereko, miss chagga, miss neddy, utafiti, BATTO
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tatizo Ntuzu kila sehem unafikiri wewe ni kutafuta ugomvi
Hapa tunamtakia muuza ubuyu maisha marefu yenye furaha na amani na kumuombea Mungu ampe ya umande wa mbinguni kama Jacob na maisha marefu ya furaha pia
cc Tized
 
Umeogopa? Leo niko na jeshi! Niko kamili gado! Kwanza subiri uone mapokezi ya miss chagga akitokeza!

Maana kila kona wamejaa ndugu zangu!
 
Kwa hiyo umeenda kuita ndugu uje ulazimishwe kupendwa sehem ambapo hupendwi
Hii ni hatari na mkuu Tized hii ina tofauti gani na ile ya kule uchaggani ya kumvizia dada akitoka kwao mnamkwapua na kukimbia nae na kesho yake mnaenda kutoa taarifa kuwa mtoto wenu yupo kwetu Ntuzu hapa hatuendekezi chakulaga wala niangusage hapa tunaendeleza mapenzi ya kisasa
cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa Mwanangu Mimi nilifikiri sisi tu, kumbe na nyie mnakwapuana? Sisi tunaita Kupulwa!

Nikiona vp NAMPULA HUYO miss chagga alafu baba Yake utafiti atafata ng'ombe wengine!

Cc: muuza ubuyu mwallu Job K

N

Kwa hiyo umeenda kuita ndugu uje ulazimishwe kupendwa sehem ambapo hupendwi
Hii ni hatari na mkuu Tized hii ina tofauti gani na ile ya kule uchaggani ya kumvizia dada akitoka kwao mnamkwapua na kukimbia nae na kesho yake mnaenda kutoa taarifa kuwa mtoto wenu yupo kwetu Ntuzu hapa hatuendekezi chakulaga wala niangusage hapa tunaendeleza mapenzi ya kisasa
cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa... Ukizidiwa ujanja na akina NGOSHA, Unaruhusiwa kuitumia hii tekniki Mkubwa. Nina nguvu za kutosha sana tu kumuweka begani huyu raia.
Ntuzu naye kasema kwao nao huwa wana-PULA..... sasa atakayewahi kubutua ndio anakula nyama.

Back
Top Bottom