Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Hahahaaaaa, nilidhani linaitwa 'jibombogwe'!
mwallu dada Yangu Njoo ucheke huku!
Huyu muuza ubuyu kaanza vituko vyake!
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa, nilidhani linaitwa 'jibombogwe'!
Happy birthday to you muuza ubuyu may our almighty God bless you abundantly so you can live to blow more than 120 candles...... King'asti sina ugomvi na wewe ila kuwa makini sana na Evelyn Salt sina huakika kama ni dada yake kweli. Ni hilo tu.
Ngoja kwanza nkwela, huyu editor wangu King'asti ni mkeo toka lini?
HAPPY BIRTHDAY NKWELA muuza ubuyu!
G-string ni kachumbari ya mapenzi.... binti akiniona nimeva anavibrate kama simu iliyoko mezani.
Happy birthday muuza ubuyu