Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Wee! Ng'ombe 40 nao usema ni wengi, wala hawawezi lingana na thamani ya dada yetu mwallu, hebu cheki avatar yake kwanza uone anavyokuvutia kama hutampigia simu kumuuliza ana nani make huishi wivu wewe! Kuhusu Paw huyo alishanyosha mikono!
Hivi mlinipa bure?

Hapo sijam Cc : Paw
 
Last edited by a moderator:
Wee! Ng'ombe 40 nao usema ni wengi, wala hawawezi lingana na thamani ya dada yetu mwallu, hebu cheki avatar yake kwanza uone anavyokuvutia kama hutampigia simu kumuuliza ana nani make huishi wivu wewe! Kuhusu Paw huyo alishanyosha mikono!

Ahaaaaaaa kuuumbe. Basi sawq..shikilia hpo hapo kaka.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa, natolile nkoyi lyaniki igololoku gwenga kayiswe ntuzu! Niyo nizugelile hang'wane na mana ane abhili masumba masumba gete agong'wikola Sebha!
muuza ubuyu hebu fuata ushauri wa Mentor mwisho maji yatapoa kabla hujaoa shauri yako.
 
Mkuu muuza ubuyu Hongera sana. A BIG AMEN to this prayer/wish.
Ee Mwenyezi Mungu utusikie kuomba kwetu.

Mungu akushibishe mema ya nchi ukaone wana wa wanao.wanao wakawe heri kati ya mataifa na mkeo akabarikiwe duniani....
Neema na fadhiri zikufuate siku zote za maisha yako,Mungu akakuweke mahali pajuu,vinavyotamaniwa na mataifa yote vikakujie ili uache kuuza ubuyu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu Tized, sala hii ni kubwa sana na nimeipenda! Ninamwomba mwenyezi Mungu ayafanye haya kwetu sote! AMEEENI!
Mkuu muuza ubuyu Hongera sana. A BIG AMEN to this prayer/wish.
Ee Mwenyezi Mungu utusikie kuomba kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom