Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 581
- 574
Amen na Kazi Iendelee.Heri ya kuzaliwa kwake Madame President, Mwenyezi Mungu amjalie kila lililo la kheri na kumuepusha na husuda na hila za wabaya
Kishalewa madaraka, bado ana nafasi lakini milango itafunga soon na atakuja kujutaShida Ni kubariki kesi ya kigaidi bila facts.Una nafasi nzuri kuruhusu mchakato kuboresha Katiba pendekezwa ya wananchi na sio draft ya CCM.Happy birthday Madame Presida.
HBD to Madame President Samia Suluhu HassanHeri ya kuzaliwa kwake Madame President, Mwenyezi Mungu amjalie kila lililo la kheri na kumuepusha na husuda na hila za wabaya
Heri ya kuzaliwa mamaMnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar...
Tatizo la Mbowe sijui hiyo katiba mpya alikua ana haraka nayo ya nini kwenye awamu hii, katiba ya zamani haifutwi sasa unadhani hiyo mpya wata ifuata? Nadhani Mbowe ana taka madaraka tu.Shida Ni kubariki kesi ya kigaidi bila facts.Una nafasi nzuri kuruhusu mchakato kuboresha Katiba pendekezwa ya wananchi na sio draft ya CCM.Happy birthday Madame Presida.
Happy birthdayMnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar...