Tuliombea kuwa na Rais atakayetuunganisha Watanzania, Mungu ametupa Samia Suluhu Hassan

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Mwenyezi Mungu huwa anafanya kwa wakati wake.

Tanzania kuna muda tuliomba na kuhiyaji viongozi na Rais atakaye liunganisha Taifa. Kwa hakika tumepata Samia Suluhu Hassan ambaye sio tu kaunganisha Taifa ila kaponya machungu ya wengi.

Tanzania iko salama, Madara yamerudushwa kwa Wananchi, chini ya Mheshimiwa Mchengerwa OR TAMISEMI iko kwa Wananchi wa kawaida, ni kipindi hiki cha awamu ya sita ambacho mkuu wa Mkoa na Wilaya wanaweza kuitwa na Wananchi kujibu hoja .

Hongera CCM kwa kuwa Imara kuhakikisha Watanzania wanapata maji, umeme, huduma za Afya, elimu bora etc.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi Iendeleee.
 
Umeanza vizuri. Ila hiyo aya ulioanza na neno hongera ndio ukavuruga mambo.
 
Mwenyezi Mungu huwa anafanya kwa wakati wake.

Tanzania kuna muda tuliomba na kuhiyaji viongozi na Rais atakaye liunganisha Taifa. Kwa hakika tumepata Samia Suluhu Hassan ambaye sio tu kaunganisha Taifa ila kaponya machungu ya wengi.

Tanzania iko salama, Madara yamerudushwa kwa Wananchi, chini ya Mheshimiwa Mchengerwa OR TAMISEMI iko kwa Wananchi wa kawaida, ni kipindi hiki cha awamu ya sita ambacho mkuu wa Mkoa na Wilaya wanaweza kuitwa na Wananchi kujibu hoja .

Hongera CCM kwa kuwa Imara kuhakikisha Watanzania wanapata maji, umeme, huduma za Afya, elimu bora etc.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi Iendeleee.
Acha kumshirikisha Mungu kwenye mambo ya kishetani wewe.
 
Another praise team member in making. Lucas mwashambwa njoo utoe seminar ya kusifu na kutukuza kwa huyu zuzu.
 
Mwenyezi Mungu huwa anafanya kwa wakati wake.

Tanzania kuna muda tuliomba na kuhiyaji viongozi na Rais atakaye liunganisha Taifa. Kwa hakika tumepata Samia Suluhu Hassan ambaye sio tu kaunganisha Taifa ila kaponya machungu ya wengi.

Tanzania iko salama, Madara yamerudushwa kwa Wananchi, chini ya Mheshimiwa Mchengerwa OR TAMISEMI iko kwa Wananchi wa kawaida, ni kipindi hiki cha awamu ya sita ambacho mkuu wa Mkoa na Wilaya wanaweza kuitwa na Wananchi kujibu hoja .

Hongera CCM kwa kuwa Imara kuhakikisha Watanzania wanapata maji, umeme, huduma za Afya, elimu bora etc.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi Iendeleee.
Uliomba na mmeo ndio unawahusisha watu wote
 
ila huyu mnampamba na sioni hata aliyofanya zaidi nachoona miradi aliyoicha namba tano ndio inatusaidia..!!
huyu vitu vyapandabei tu! nasafari zakutosha watu wanalalamika dollar hakuna,yani kama kuwafurahisha anawafurahisha walioupande wake tu ndio hao wanamchangia million 120 huku unayohitajika ni one million!!

watu wanakufa njaa nyie mwampa alienacho!,kama Miungu na mizimu kweli ipo basi itawalaani na utawala hautakuwa wa baraka!
 
Back
Top Bottom