AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
- Thread starter
- #141
Hahahaha!
Namuaminia mjukuu mtiifu(MJ1) ataifanya siku aya BABU kuwa a day to remember,
Lazima hiyo note iheshimiwe,nami naungana na wenzangu kuiheshimu,
Shem alinambia mpaka umpe ruhusa yako ndio ataweza nipitia hapa niongozane naye kwa anasema umeimarisha ulinzi shirikishi na police jamii mda wote,
Basi km umeshampa geti pass atanipitia soon, mwambie namsubiri.
Mbona ruhusa nilisha mpatia.... Nilisema wewe na Smiles na fb woote muende! Hivi wako wapi sasa - tell them waache utegezi mara moja! lol