<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Usijali kabisa Husny..... Huyu Golden Mpole atakua mpwa wa mwisho for it is safer for your auntie.... maana asipokua mpwa mmmh!

usihofu aunt, ngoja sherehe iishe tukae kikao cha familia uncle atuambie anataka wapwa wangapi. Hapa tunalinda maslahi ya familia. Lol
 
Orait so tutapitia kwa Bakhresa hapo Hus..mwambie mwali ajiandae si tutaenda naye pia au atazilamba njiani kabla hazijafika?

uzuri mwali sio mroho. Hata akipika huwa haonji jikoni. Zitafika usihofu.
 
Golden Mpolee NO offence Dearest.... but you sound really really dangerous for the well being of my Man.... Si waelewa ule msemo wa abiria chunga mzigo wako? lol

Usijali kabisa Husny..... Huyu Golden Mpole atakua mpwa wa mwisho for it is safer for your auntie.... maana asipokua mpwa mmmh!

Golden Mpole ni dhahabu rohoni kwake. U love me I love U. U hate me I hate U. niamini tu na nitakua niece wako wa adab mwenyewe utashanga! mbona bab yy haji?
 
Huyu RR unajua sijui mataputapu? Yeah U can have Kimey for the time being, tukirudi sherehe imeanza then tunaresume majukumu yetu. So Kimey ataenda Langoni kucheki ulinzi na wazamiaji.lol

Oh' Thanks Love... walau Kimey seems reliable.... Leo RR alipe fine, hata kwa SL alitega hivi hivi! lol
 
usihofu aunt, ngoja sherehe iishe tukae kikao cha familia uncle atuambie anataka wapwa wangapi. Hapa tunalinda maslahi ya familia. Lol

Good gal... ndio maana hata nikisafiri na ukiwepo nakua na amani.... Ka Mwali kanamfichia saana siri ankal wako!
 
Hongera siku yako ya kuzaliwa babu ODM.
Mungu akupe umri mrefu na afya njema.
245895,xcitefun-happy-birthday-cakes-5.gif
 
Golden Mpole ni dhahabu rohoni kwake. U love me I love U. U hate me I hate U. niamini tu na nitakua niece wako wa adab mwenyewe utashanga! mbona bab yy haji?

Sweetie naomba soma post hii ya GM.... Golden Mpolee I like you.... I think we will blend well me as your auntie....lol

Welcome to the Family, tutaandaa sherehe maalum kwa ajili yako!
 
Good gal... ndio maana hata nikisafiri na ukiwepo nakua na amani.... Ka Mwali kanamfichia saana siri ankal wako!

hehehehe! Mpaka sahivi profile la ankal safi. Akituletea aunt mwingine lazima nikwambie. Mwali endelea kumpa mafunzo ya kutosha.
 
Heshima yako Big sisy,
Nimepita humu kumuwishi huyu swty babu yetu!
Mpe hi my big Shem Kaizer.

Heshima imepokelewa kwa mikono yooote miwili! lol
Babu leo yupo na mjukuu mmoja tu! Na huyo ni Mjukuu
wa wajukuu (MJ1) na wameweka "No disturbance note mlangoni!"
Shem wako mbona kasema mnaenda woote kwenye vinywaji... Kakuacha?
 
Hahahaha!
Namuaminia mjukuu mtiifu(MJ1) ataifanya siku aya BABU kuwa a day to remember,
Lazima hiyo note iheshimiwe,nami naungana na wenzangu kuiheshimu,
Shem alinambia mpaka umpe ruhusa yako ndio ataweza nipitia hapa niongozane naye kwa anasema umeimarisha ulinzi shirikishi na police jamii mda wote,
Basi km umeshampa geti pass atanipitia soon, mwambie namsubiri.
 
Back
Top Bottom