Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
osha osha vizuri.
mwe aoshe nini? nadhani sio vyombo kwani vilishaoshwa zamani
osha osha vizuri.
Kwa kweli so long as Anti yangu, somo wangu, AshaDii wangu hajanambia kua ndio hivo mi siendi... lolbabu kasema eti ni siri yake na wajukuu zake kama vipi we nenda tu.babu hataki kukunipa wewe kisa anajifanya hadi akukague au klorokwin ameshampa babu kitu kidogo nini. huyu kloro mjanja mjanja sana
Halaf jibaba kaa mbali sana na mwali, tayari wamenipa umod last wiki, nikiona unaquote post za mwali sana nakulamba ban bila warningbabu kasema eti ni siri yake na wajukuu zake kama vipi we nenda tu.babu hataki kukunipa wewe kisa anajifanya hadi akukague au klorokwin ameshampa babu kitu kidogo nini. huyu kloro mjanja mjanja sana
...astaghafirullah!
ODM, heri ya siku ya kuzaliwa kaka.
Mambo ya ukaguzi ni siri ya babu na wajukuu zake....... bado sijamaliza, chagua mwingine bana....
Bora umekuja Mbu... hali sio yenyewe kabisa huku. wajukuu tunaonewa hadi basi yaani...
Halaf jibaba kaa mbali sana na mwali, tayari wamenipa umod last wiki, nikiona unaquote post za mwali sana nakulamba ban bila warning
asante !! ngoja nimsaidie babu kupokea hizi pongezi naona yuko bussy sana. unajua kuwa leo kuna ukaguzi?Happy birthday babu ODM! Mungu akupe maisha marefu!,.
@Wifi nimepotea kidogo ila afta shughuli ntakuja kusafisha room
Kuna ban spesho imeanzishwa utakuwa hauoni post za mwali tu. Na hasila zangu nitakulamba ban na jirani zakounanipa ban ya siku ngapi?
Moskwito, kwenye sherehe kila haramu inageuka halali. Usimtishe kipipi na mwali bana. Tutatubu kesho
Happy birthday babu ODM! Mungu akupe maisha marefu!,.
@Wifi nimepotea kidogo ila afta shughuli ntakuja kusafisha room
Najua, niko hapa mlangoni nimepanga foleni....akitoka Mwali naingia mimi!asante !! ngoja nimsaidie babu kupokea hizi pongezi naona yuko bussy sana. unajua kuwa leo kuna ukaguzi?
Afu wewe, rais Nyani Ngabu ameshindwa kushuka jukwaani kumbe bodyguard umekimbilia kwenye party ya watu! Twende kule kwa rais bana! Huku kila mtu kalewa, si umeona kidogo Saint Ivuga aniangushie chupa kichwanhivi ndo umeolewa zimbabwe kweli?
be warned: madola ya zimbabwe hayaruhusiwi kwenye michango ya JF.
heheeh saint ivuga nazani kachanganya na msuba, nimemkuta uwani ananusa kufuli la mdada, sjui la nani lile aisee. Ni oversizeAfu wewe, rais Nyani Ngabu ameshindwa kushuka jukwaani kumbe bodyguard umekimbilia kwenye party ya watu! Twende kule kwa rais bana! Huku kila mtu kalewa, si umeona kidogo Saint Ivuga aniangushie chupa kichwan
si mikono jamani? lolmwe aoshe nini? nadhani sio vyombo kwani vilishaoshwa zamani
heheeh saint ivuga nazani kachanganya na msuba, nimemkuta uwani ananusa kufuli la mdada, sjui la nani lile aisee. Ni oversize
heheeh Afro D kaanzisha kanisa, sadaka kwa credit card direct debit onlinehehehhe mimi sijui hata ni ya nani nlijichukulia tu umeme ulivyozimika, na usije ukamtaja ashad kwani namheshimu sanaa..
kwanza afro d yuko wapi jamani?
Usiendeeeee....
...e mamaweeee!!! :shock:
...sitii neno hapa! sijui ana kihirizi huyu?...akishakagua, mkaguliwa anakuwa addicted!
Am out, nisijepakwa masizi ya uso ati namuonea gere 'mgonjwa!'
hahahahahaha, mbavu zangu mie..... lolestheheeh saint ivuga nazani kachanganya na msuba, nimemkuta uwani ananusa kufuli la mdada, sjui la nani lile aisee. Ni oversize
Achana nae, anakurusha roho tu huyo.unanipa ban ya siku ngapi?