<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

ayaaaaa..babu kumbe unawakagua kwanza .mwingineee aa anakuaj sasa hivi kujitaja ..aliniomba kucheza naye blueszzzz
Huyo sidhani kama anakufaa, alikuwa ameathirika na kaswende bado hajapona vizuri.... subiri kidogo nimwangalie anaendeleaje afu nikiona vipi ntakukabizi..... hebu chagua mwingine kama hutajali.
 
fellow tablet bana! hehehe wape dozi bana mie niko holidei lol
 
Huyo sidhani kama anakufaa, alikuwa ameathirika na kaswende bado hajapona vizuri.... subiri kidogo nimwangalie anaendeleaje afu nikiona vipi ntakukabizi..... hebu chagua mwingine kama hutajali.
Astaghfirullah! :shock: hivi Babu mbona unatuharibia CV kwa potential watarajiwa? wivu tu huo?
 
Ivuga naona Pretta kapotea, sijui kaenda jukwaa la wakubwa???
Shughulikia mziki basi, si unaona pamezorota? alafu baadae ukiweka slow jam naweza kucheza na wewe... 🙂

ngoja nifanye mambo ya mziki hapa ni slow jam mwanzo mwisho asie na wake aeleke jiwe
 
Back
Top Bottom