Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Mi nimesha amka hapa nafanya fanya usafi. Ongea kwa saui ya chini babu bado kalala
poa hataskia .ngoja kwanza nikuulize(kwa sauti ya chini) lile pale kwa babu ni busha au macho yangu, au mbwembwe zake tuu