<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Hapo sawa.... naona ushakubali iwe mkononi mwa shemejio.... mie wajua how I trust ukiwepo wewe au Husny....lol

Naona MJ1 Tumvutie subira.... yaana hadi nimechoka kumsumbiri aje angalie final touches...:yawn:
Mie nafikiri kila kitu kio sawa tu,
Tumsaidie kufaino laiz coz naamini akitoka huko atakuwa amechoka sana na anahitaji kupumzika tu.
 

hapa mnaongelea nini sweetie? Am lost....
 
Aisee nyie watu.....

Mmeifanya siku yangu kuwa so special.......... watoto wanashangaa tu hili dingi linacheka nini peke yake?

BTT: ADI my darling shem, sijaona sehemu yoyote ile kama kuna mjukuu aliyeandaliwa kushika mkongojo wangu wakati bibi yenu akinilisha keki. Si wajua kizeezee ulilishwa keki shurti umkumbatie mlishaji? Sasa wakati wa huu ukumbatiaji, mkongojo wa babu nani atanisaidia kuushika? Au hii haizingatii itifaki?

Baada ya kusema hayo, sasa waweza mleta golden mpolee huku tayari kwa ukaguzi na kumwingiza rasmi kwenye familia yetu.
 
haiya haiya

jamani malizieni haraka vitu vilivyobaki
Kipipi, Lizzy na AD waanza kupokea wageni
maana wameanza kuingia

hivi lakini hawa wageni walioanza kuja sasa hivi
wanataka wasaidie kupika!!!!
 


Ha ha ha ADI,
Ahsante kwa kuja! Ndo maana waswahili wanasema kuku wako mwenyewe, manati ya nini!?

''I'm humbled''! Nimeipenda hiyo na sina shaka kwamba ndivyo ulivyo.
 
ADI,

Nisaidie sifa za smiles inawezekana nitammudu, as long she is readily available!lol

Cantalisia namuona kama mtoto wa baba paroko kwa saaana!

Btw, jina langu ni Maranya not Manyara.


Smiles

  • Ni so loving and caring
  • Crazy in a naive and sweet way.
  • Still growing up (undecided in such matters)
  • Unapesa ya kutosha? sio mtoto wa kuweza himili shida
  • Are you good in the suck? (If no usijisumbue) lol
  • Ni under ground mod na secretary wa Invisible.

Kwa sasa hizo zitakufaa..... Nakuonea huruma umemuopa Cantalisia.... She is almost perfect! lol
 
Mie nafikiri kila kitu kio sawa tu,
Tumsaidie kufaino laiz coz naamini akitoka huko atakuwa amechoka sana na anahitaji kupumzika tu.

haya vinywaji tayari tayari...just in case nimeweka pia Konyagi, Common na common sense, najuwa traditionalists watakuwepo tu (Maranya mmojawapo)....of course Amarula, na pia JD kwa muzee MTM and Co.

sasa ni mida ya kujiswafi....sweetie I need your help:tongue:
 
Muzee muzima....
Happy birthday....
Sasa....ok....ok.....
Have a blast...

@Shem: hivi hii mistari unaindaa mwaka mzima? unazama tu na kuibua mojamoja....
:focus:
 
Mumtafutie kwani ye kipofu jamani...!! Angalia usijeharibu party ya babu......lol!


Kipipi,
Ukifika nchi ya watu inabidi utafute wenyeji ili wakuonyeshe mji.
Barabara nyengine ni one way, ukiingia kichwa kichwa unaweza kuishia mikononi mwa polisi.
 
Orait Big shem,
Umesomeka vizuri,nasubiri kuna mtu fulan km atahudhuria naweza piga hiyo makitu ya Amarula.
 
hapa mnaongelea nini sweetie? Am lost....


Darling Kaizer fuata trend..... you will get the answer....lol


Yap yap yap!
Happy birtday buddy!
Hii birtday yako imenistukiza, itabidi niishiriki kwa ile style yetu kongwe ya LMM! LOL




 
Halafu na wewe una kesi kubwa sana ya kujibu...... Unataka kuendelea kunidanganya bado unasuluhisha matatizo ya ndugu zako? Nlishakuambiaga mi najua kuoa tu, sijui kutoa talaka.

Haya mengine ni ya chumbani...Usiendelee sana hapa wajukuu wengi sana....Lakn Am sorry mengine nitakueleza badae.
 


ADI,
Nimekubaliana na ushauri wako, sio kwamba sitomuweza smiles bali hatutowezana kabisa!lol

Kwakuwa una maunty wengi endelea kupitisha macho utampata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…