Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni