Jinsi Wachina wanavyopiga hela nyingi Morogoro!

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
Tarehe 12 Siku ya Jumatano Asubuhi… Mida ya Saa 11:43 am …Nilienda mjini Maeneo ya Masika karibu na Benki ya CRDB Ilipo…(Morogoro)...Kwa pembeni Kidogo kuna Sehemu wana Choma Ndizi na kwa Pembeni yake kuna Maduka ya Kuuza Vyombo... …Nilienda kwenye OFISI moja ya Kutengeneza Simu Inaitwa…“MREMA Phone Repair”

Nilienda kutengenezewa Simu yangu Iliingiwa na Maji kwenye Sehemu ya Chaji... Kwahiyo Ikawa haipeleki Chaji ukiweka kwenye Umeme... Nilienda Ili akaiweke sawa Iendelee Kuchaji kama Kawaida!

...Jinsi hiyo Ofisi ya Mrema ilivyo ni Kwamba… Kwa ndani kabisa Ndiko anatengeneza Simu halafu...Mkwa Njee wanauza Cover, Chaji na Vifaa vingine vya Simu Halafu... Kwa nje kabisa ndo kuna Benchi la mbao na Kiti kwaajili ya kukaa Wateja... Yaani…Pamejigawa kwenye Posheni mbili ndani ya Chumba kimoja... Ndani kabisa Ndiko anafanyia kazi huyo bro Mrema Halafu kwa Nje ndio wanauza hivo Vifaa

Halafu kwa Njee palipo na ma Benchi… uwa anakaa Brother mmoja Mrefu mwembamba Anapenda Kunyoa kipara halafu ana Kamzuzu flani hivi… Yeye…Kazi yake pale ni Kurekebisha Setting za Simu za Wazee... Kama Umewahi kuona Mzee hata simu yake Ikijiwasha Bluetooth tu kwa Bahati mbaya huwa Anatafuta fundi wa Kumuwekea sawa…Kwahiyo huyo Broh yeye huwa anapiga Hela kwa kufanya ishu hiyo... Pamajo na Kuwafundisha wale wazee wa ki Digitali kusuka Mikeka (Ku Bet)!

Kwahiyo…wakati Tumekaa kwenye Benchi kwa Njee… Alipita M-China mmoja akiwa amevaa zake Kibegi cha Kifuani kama Country Boy vile…Yule Frank (Muuzaji wa Vile Vifaa Mule Ndani) Akamwita kwa Sauti…Cheng… Njoo bhana”Yule mchina haraka haraka Akaja pale akatupa tano, Huku Akisema…Mambo Vipi Frank?..” (Kwa Lafudhi ya Kichina Sasa) wakawa Wanaongea pale Ishu zao za Biashara…Inavyoonekana…Yule mchina ana Dula kubwa la Jumla la Vifaa vya Simu pale Morogoro…

Kwasababu… ndio Walikuwa wakiongea kuhusu Hizo Ishu! Wakiwa wanaendelea Kuongea pale, Frank akamuuliza… Cheng... Hivi bado unazo zile Chaji za Iphone ulizoniletea Kipindi kile, Kwasababu... Ziliisha mapema sana Inaonekana zinakubalika sana?” Cheng… akajibu kwa Shauku… Ndio ninazo za Kutosha pale Store, Vipi ulikuwa Unahitaji?” (Hapo weka tena Lafudhi ya Kichina) Frank Akajibu… Ndio Nazihitaji… Sema nenda kwanza Unakoenda Ukirudi tutaongea…” Mchina Akajibu… Okay! Yule Mchina akasepa zake…

Mimi pale niko nasoma tu Mchezo unavyoenda… Na… Kwa Haraka Haraka... Nikajua yule Mchina hawezi Kurudi kuja Kuulizia ODA yake Kama Ilivyo kwa Wauzaji wengine wa Kawaida Hazikuchukua Hata Dkk Tano…Yule Mchina akarudi tena Na… Hapo Ndipo Game Ilipoanza Kuchezwa sasa na yule Mchina...

Kwanza Kabisa Akaanza kwa Kumuuliza Maswali Frank… Kwanini Unazitaka tena zile Chaji za Iphone? Frank… Akajibu! Huku Mchina ana note baadhi ya Points kwenye Notebook yake Ndogo Mimi hapo Nimekaa pembeni kama Sioni vile nasoma Mchezo unavyoenda tu… Mchina akauliza Maswali huku aki note Points za Msingi baadae akaanza Kuongea na Yeye na muda huo... Akawa anachanganya hadi na Kingereza...Kwasababu Kiswahili kilikuwa kina Mpiga chenga kwenye baadhi ya maeneo

Mchina Kaongea... Hadi Ikafika Hatua wakakubaliana na Frank ni Lini ataenda kulipia hizo Chaji za Iphone Baada ya Hapo Mchina Akatuaga huku tayari akiwa na Uhakika wa Dili lake Mkononi! Na...Hapo Ndipo Nilipokuja Kujua Hawa watu wanakuja BONGO Wakiwa wako full package kwenye… Sales na Closing Skills! Unajua kwanini Mchina alipata Hilo dili la Chaji za Iphone? Okay… Usijali!

Angalia Hapa Chini…Ukweli ni kwamba kwenye Kuuza Pesa huwa haziko kwenye Mauzo ya kwanza (First Sale) Bali…Pesa nyingi huwa Ziko kwenye… Second Sale, Third Sale na kwenye kufanya kitu Kinaitwa… “Follow UP”Kwa Leo Sitakwambia Kuhusu Second na Third Sale, Bali nitakwambia kuhusu…Follow Up! Na… Hapa Ndipo Unapoacha Pesa Nyingi!

Angalia Inavyokuwa… Mteja anapokuja Kuulizia bidhaa/huduma Unayouza anakuwa kaonyesha… .
“INTEREST”Maana Yake...Anaitaka Ile bidhaa/huduma Unayouza na Anaweza akawa anaulizia ili kufanya Mipango ya kuja Kuinunua baadae Hiyo Ina Maana Gani kwako Muuzaji?.. Huyu mteja anakitaka kile Unachouza Lakini Inaweza kuwa Leo au Siku Nyingine Au… Kwa Maana Rahisi ni kwamba… Huyo Mteja ni wa Leo au Siku Nyingine!

Kama ni wa Leo basi kuna Uwezekano ukafanya nae Mauzo hiyo Siku Na… Kama ni wa Siku Nyingine basi jua bado Hujampoteza bali kuna Vitu bado anataka Kuviweka sawa Aidha… Bado anajichanga Hela, Anatafuta Ushauri, Anatafuta penye Bei Rahisi Au… Anatafuta Chaguo mbadala Kwahiyo… Wewe kama Muuzaji inatakiwa Umtoe toka kwenye… Kuwa na “Interest” kwenda kwenye kufaanya…ACTION! Yaani... Umtoe kwenye kuwa na NIA na kwenda kwenye kufanya Vitendo maana yake anunue bidhaa/huduma unayouza

Na… Unafanya Hivo kwa Kufanya… “Follow Up” Okay… Follow Up ni Nini? (Unaweza Kujiuliza …ni Yale mazungumzo Unayofanya baada ya Kuongea na Mteja mtarajiwa kwa mara ya kwanza ili Kumfanya achukue Hatua

Mfano…
Kwa yule mchina ile Mara ya pili Alivyorudi kuongea na Frank... Pale ndo alikuwa anafanya “Follow Up” baada ya Frank kuonesha “Interest” kuwa anataka kununua zile Chaji tena Na… Follow up mara Nyingi Hufanywa kwa… Kupiga Simu, Kutuma Emails au Meseji aidha WhatsApp au Normal text Kwahiyo… Kwenye Kuuza hela Nyingi huwa zipo kwenye kufanya Follow UP kwa Mteja wako

Kwasababu… Ukweli ni kwamba SIO Rahisi kwa Mteja kuja kununua bidhaa/huduma yako Unayouza 50k au 100k bila Kujibu maswali anayojiuliza Kichwani mwake

Ndio Maana… Utakuta mteja Akitaka kununua bidhaa ya BEI Kubwa kwanza ataanza kwa… Kuuliza Marafiki... Kuingia Mtandaoni kufuatilia... Halafu... Baadae Ndio atakuja kwako kwa Mara ya kwanza kuja Kuulizia Bei
Kwasababu… Kununua bidhaa ya Bei kubwa kuna RISK Kuliko kununua bidhaa ya Bei ndogo Kwahiyo… Kama ukiona Mteja kaja kwako kununua bidhaa ya Bei kubwa halafu akakwambia Ngoja kwanza...

Usimwache chukua Jina na Namba yake kisha fanya...Follow Up Kwasababu... Kuna Maswali anahitaji kujibu Kichwani mwake Ndio afanye Maamuzi ya kununua Na… Baadhi ya maswali hayo Utajibu wewe kama Muuzaji ukianza kufanya Follow Up!

Kwahiyo… Kama uko kwenye Biashara ambayo unauza bidhaa/huduma za Bei kubwa basi kamwe Usiache kufanya Follow Up… Kwasababu… Mteja hawezi kuja Kukupa Laki 6 Nzima kwaajili ya Kununua Iphone X... Bila Kujibu maswali yake ya Msingi yaliopo Kichwani mwake Mteja hawezi kuja kukupa 50K Kizembe ili Anunue Air Jordan 1 Watu wanatafuta Pesa kwa kutumia Nguvu nyingi sana...

Kwahiyo... Anapokuja Kuitoa Lazima awe amehakikisha zaidi ya Mara mbili kwamba anachonunua ni cha Uhakika Kwahiyo… Wewe kama Muuzaji inabidi Kujifunza jinsi ya Kuuliza maswali wakati wa Kufanya Follow Up... Ili uweze Kumfanya Mteja achukue hatua ya Kununua bidhaa/huduma yako Umtoe toka kwenye kuwa na Interest na Umfanye achukue...ACTION! Na hii Ndio Silaha yangu ya Siri sana ninapokuwa Sokoni...(Nafanya Sana Follow Up)!

Na…Hapa ndipo huwa Nashangaa ninapopita kwenye Duka la mtu la Nguo... Halafu namkuta Muuzaji anacheza Game kwenye Simu tu… Wakati muda wateja hawapo Ndio muda wa kufanya Follow Up kwa kuwapigia Simu wateja Walionesha INTEREST Siku zilizopita. Na… Ukianza kufanya Hivyo Ndo Utaanza kuona Mauzo yako yanaongezeka

Kwasababu… Mtu awezi kununua Laptop au Simu ya 350k kwa Kuchati nae kwenye Simu pekee yake… Chukua namba yake... Muombe mkutane Muongee kuhusu kununua hicho Unachouza na... Kuna Muda utalazimika hadi Kuonana nae hadi mara tano… And It’s FINE! Kwasababu… Kabla mteja hajanunua Unachouza inabidi ahakikishe Kichwani mwake kuwa… Hafanyi KOSA Kwenye Kununua...

Hafanyi hiki Kitu Kinaitwa..."Fear Of Making a Mistake" Kwahiyo… Siku zote Usiache Kufanya Follow Up kwenye Biashara yako! Na... Huo Ndio utakuwa Mwanzo wako wa Kutengeneza Pesa nyingi Zaidi Sokoni! By the way... Kama Umependa Makala hii Unaweza ku Like hapa Chini... Vile vile... Unaweza ku Comment hapa chini na Unambie Unafikiria nini Kuhusu Makala hii ya Leo

Au... Ungependa niandae Makala kuhusu Topic gani hasa Ambayo Ungependa Kujifunza... (Nasoma na ku Reply Kila Comments Mimi Mwenyewe)! I Hope Umejifunza Kitu.

Uwe na Siku Njema!

Gracias
.
Seif Mselem
 
Umenikumbusha jambo. Kuna mtu nilikuwa nina mazungumzo naye siku moja.

Na nnakumbuka alinisisitiza pia suala la follow up kwenye biashara, pamoja na mengine mengi.
Yeah Sure Brother Sukah... Follow Up Muhimu Sana.
 
Tittle ilipangwa,matarajio ni kuona main topic kwa mpangilio mzuri.
Ila hizo blaah blaaah hazijakaa kisomi kabisa.
Safari bado.
 
Back
Top Bottom