Hapa MJINI DILI NYINGI huwezi kufa kwa njaa

Kuosha magari mtaji ndoo ndogo(1,000) na maji sh 100 ,tambara unaokota tu bure!! Kuosha gari kwa maji bila ming'aro ni buku 2...wakipaka ming'aro ni buku 5.
 
Xaxa hapo umemsaidia au ulitaka kuchekesha umaaa du hz dgriiiiiii za cku iz balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........

Vyote viwili. Nigeria kuna watu wana shule zao wanaomba kuwa madereva, jamaa hataki kurudi kijijini kwao, ameomba kijanja tumpe njia mbadala za kuishi hapa mjini, na hizo ni miongoni mwa kazi za uswahilini kwetu, bora mkono uende kinywani mkuu.

Ukahaba ni biashara ya zamani sana na imesomesha wengi sana, lakini imani zetu zinatufundisha kuwa ni dhambi. Hapa Dar sasa hivi kumchekesha mtu inabidi ulipwe au ulipie, kwa hiyo kama nimechekesha inabidi nilipwe maana kuna watu wameondoa stress na kuongeza siku!!!!!!!!!!!!
 
baada ya kufika mwisho wa comment yako ilibidi nirudie kuangalia ID yako.
Hizo dili si mchezo.

Tiger upo,
Hizi dili hazihitaji vielelezo vingi, ukienda posta mpya pale utasikitika vijana wengi wakiwa na bahasha za kaki kwapani. Unadhani baada ya miaka mitatu ya kutembea na zile bahasha bila mafanikio,kijana huyu akiambiwa dili za ajabu ajabu ataweza kukomaa kulinda hadhi yake ambayo mtaani imeshapotea?

Suala la ajira kwa sasa ni hatari kuliko wengi tunavyofikiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom