Hapa MJINI DILI NYINGI huwezi kufa kwa njaa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni
 
Ziko nyingi sana kama sio mwoga
Ziko nyingi sana kama huna aibu
Ziko nyingi sana kama una ubavu
Ziko nyingi sana kana ww mtoto wa hapa

Zingine ni hizi,

Kuonyesha watu njia za kwenda sehemu fulani
Kufaulisha vyoo vya watu
Kuwa dalali wa vyumba/nyumba/mashamba/viwanja
Kuwa kuwadi
Kubeba watu mvua ikinyesha
Kupika majuku ktk vilabu vyetu vya mpira au ktk vyama mbalimbali
kuwa baunsa wa kukodishwa
Kuuza urembo au kukata watu kucha
Kunengua ktk bar mbali mbali
Kuwa mtoa nyeti halali
Kuwa mtu wa kati ktk biashara fulani

Hizi ndio baadhi ya dili ambazo polisi hawawezi kukukamata ovyo. Zile hatarishi sitaji.
 
hahahahaaaaaaaaaaaa.. umeniacha hoi aiseee.......
 
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni

Kuuza vyeti bandia,leseni na paspoti feki. kuiba power window na redio za kwenye magari. Kuuza nafasi za jeshi,upolisi na usalama wa taifa . kujifanya afisa wa Takukuru au usalama wa Taifa. Hizo ni baadhi tu ndugu yangu,zinaweza kukutoa fasta,ila masharti yake ni uchague kwenda jela au uishi uamishoni,mambo yakiharibika.
 
Ziko nyingi sana kama sio mwoga
Ziko nyingi sana kama huna aibu
Ziko nyingi sana kama una ubavu
Ziko nyingi sana kana ww mtoto wa hapa

Zingine ni hizi,

Kuonyesha watu njia za kwenda sehemu fulani
Kufaulisha vyoo vya watu
Kuwa dalali wa vyumba/nyumba/mashamba/viwanja
Kuwa kuwadi
Kubeba watu mvua ikinyesha
Kupika majuku ktk vilabu vyetu vya mpira au ktk vyama mbalimbali
kuwa baunsa wa kukodishwa
Kuuza urembo au kukata watu kucha
Kunengua ktk bar mbali mbali
Kuwa mtoa nyeti halali
Kuwa mtu wa kati ktk biashara fulani

Hizi ndio baadhi ya dili ambazo polisi hawawezi kukukamata ovyo. Zile hatarishi sitaji.

Umenichekesha sana mkuu!
 
baada ya kufika mwisho wa comment yako ilibidi nirudie kuangalia ID yako.
Hizo dili si mchezo.
 
Ziko nyingi sana kama sio mwoga
Ziko nyingi sana kama huna aibu
Ziko nyingi sana kama una ubavu
Ziko nyingi sana kana ww mtoto wa hapa

Zingine ni hizi,

Kuonyesha watu njia za kwenda sehemu fulani
Kufaulisha vyoo vya watu
Kuwa dalali wa vyumba/nyumba/mashamba/viwanja
Kuwa kuwadi
Kubeba watu mvua ikinyesha
Kupika majuku ktk vilabu vyetu vya mpira au ktk vyama mbalimbali
kuwa baunsa wa kukodishwa
Kuuza urembo au kukata watu kucha
Kunengua ktk bar mbali mbali
Kuwa mtoa nyeti halali
Kuwa mtu wa kati ktk biashara fulani

Hizi ndio baadhi ya dili ambazo polisi hawawezi kukukamata ovyo. Zile hatarishi sitaji.

Ama kweli wewe Malali ni wa hapa hapa bibi zako wapo kariakoo nini. Ama kweli dili ziko nyingi
 
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa wakisema zipo hapa mjini. Nisaidien kimawazo tafadhali, ningependa kujifunza kutoka kwenu. Asanteni

#nuku Mjini hafukuzwi mtu .....
 
Kuna jamaa mtaani ni kuwadi namba moja huyo unaambiwa hakuna demu anayemkuwadia mtu akachomoa.... watoto wa shule, wafanya biashara, wake za watu makada wa vyama, ma bongo movies .. nasikia juzi kati kuna jamaa kamla mbunge mmoja wa viti maalumu kwa msaada wa jamaa ..na jamaa anaendesha prado rx utamtaka
 
hahahaha...naomba namba za huyo kuwadi!
 
Kuna kazi nyingine ya kuokota kopo za maji yaliyo tumika na kuuza, just simple like that!
 
oøh mmenipa raha,na pia kuna wale wenye kugush had sahihi ya rais wana mpaka mihur ya ikulu.
 
Ziko nyingi sana kama sio mwoga
Ziko nyingi sana kama huna aibu
Ziko nyingi sana kama una ubavu
Ziko nyingi sana kana ww mtoto wa hapa

Zingine ni hizi,

Kuonyesha watu njia za kwenda sehemu fulani
Kufaulisha vyoo vya watu
Kuwa dalali wa vyumba/nyumba/mashamba/viwanja
Kuwa kuwadi
Kubeba watu mvua ikinyesha
Kupika majuku ktk vilabu vyetu vya mpira au ktk vyama mbalimbali
kuwa baunsa wa kukodishwa
Kuuza urembo au kukata watu kucha
Kunengua ktk bar mbali mbali
Kuwa mtoa nyeti halali
Kuwa mtu wa kati ktk biashara fulani

Hizi ndio baadhi ya dili ambazo polisi hawawezi kukukamata ovyo. Zile hatarishi sitaji.

Xaxa hapo umemsaidia au ulitaka kuchekesha umaaa du hz dgriiiiiii za cku iz balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom