Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
Hii filamu haikutengenezwa vizuri ndo shida. Sasa mwishowe picha limedoda sinema, lime-bomb box office, ndo wameamua watengeneze tamthilia kujaribu kuifafanua filamu & kuonyesha kuwa director alifanya kazi poa sana sema watu wana akili sana ndo maana hawakujichosha kwenda icheki sinema. Walifikiri wanatengeneza muvi ya Micky mouse sijui masikini