Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Hii filamu haikutengenezwa vizuri ndo shida. Sasa mwishowe picha limedoda sinema, lime-bomb box office, ndo wameamua watengeneze tamthilia kujaribu kuifafanua filamu & kuonyesha kuwa director alifanya kazi poa sana sema watu wana akili sana ndo maana hawakujichosha kwenda icheki sinema. Walifikiri wanatengeneza muvi ya Micky mouse sijui masikini
 
Hawafai, ni wanafiki wakubwa. Kama kweli wananchi wameuawa, kutekwa kuteswa, kubambikiwa kesi na wengine hadi sasa wako mahabusu na isitoshe chama chako kimetamka kutotambua huo uchaguzi mkuu ina maana nyie 19 mmeenda kinyume na tamko hilo. Basi nyie sio sehemu ya waliotoa tamko. Hapa bado sijaongelea kughushi documents zinazohusika katika process ya kupata viti maalum.
Wajishushe, maisha yaendelee ndani ya CDM.
 
Chadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Wanaweza kurudi wakitaka very simply., waache ubunge na shughuli za bunge wakubali maamuzi ya Kamati kuu wapewe kadi za uwanachama upya wasubiri wachaguliwe majimboni uchaguzi ujao. Viti Maalum mara hii hatupeleki bungeni hatutambui uchaguzi wa 2020 majibu ya kura yalipikwa kabla.
 
Sawa kabisa
 
Watanzania ni kama tunachanganywa.

Spika Ndugai amesema wabunge 19 wanawake wa Chadema wananyanyasika kwa sababu chama hicho kina mfumo dume tena ni kampuni inayoongozwa na mtu mmoja.

Naye mwenyekiti wa Bawacha anasema yeye na wenzake 19 wamejengwa na Mbowe na kwamba watu wasiwachonganishe na kiongozi wao mkuu wa chama.

Sasa tushike la nani tuache la nani?

Au ndio za kuambiwa tuchanganye na za kwetu?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mimi kama Mimi nadhani hawa majembe 19 wapewe nafasi,si vizuri kuwapoteza.
Ni hayo tu kwa sasa

Ngongo safarini Zanzibar Mfereji maringo.
Hao wakiruhusiwa kurudi wataanza kuleta vurugu ndani na kujijenga zaidi, huwezi kuwa na tamaa hadi unafikia hatua ya kufoji nyaraka ukisaidiwa na CCM halafu useme wewe ni Mwana Chadema, Fukuzia mbali hao.
 
vita gani tena na viumbe ambao siyo wanachama wa CDM ?
Hahahahaha! Hata CUF waliamini Lipumba sio Mwenyekiti wao. Safari ya mwisho wa enzi imeanza. Rufaa yenye mashiko, mahakamani huku wakiwa na bargaining power kubwa ambayo wewe huijui. Usiku kitanda kimoja, mchana mwingine mjumbe ya kamati kuu, mwingine Mbunge aliyeapa akavuliwa uanachama.

Mind you, wale wote 19, kila mmoja wao alienda kwenye press akitokea kwake!
 
Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu kuna kitu wanakijua kuhusu sakata hili ambacho Mnyika hakijui
 
Wanaweza kurudi wakitaka very simply., waache ubunge na shughuli za bunge wakubali maamuzi ya Kamati kuu wapewe kadi za uwanachama upya wasubiri wachaguliwe majimboni uchaguzi ujao. Viti Maalum mara hii hatupeleki bungeni hatutambui uchaguzi wa 2020 majibu ya kura yalipikwa kabla.
Yes huo ndio utaratibu. CCM hawakutaka wapinzani walijiamini kuwa wataleta maendeleo, leo wameanza hata kutumia njia haramu kuhonga Bawacha ili waende Bungeni, wamegushi nyaraka za chama. Wakitaka wajivue ubunge, wawe wanachama wa kawaida.
 
Back
Top Bottom