Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,736
- 5,142
Mjifunze kuwa street smart maana mtaani nadhani unajionea hali ilivyo.Well, lakini pia mfumo wa kujiajiri nao haupo favourable kabisa, ili ujiajiri bongo kisha uje kutoboa ie. Business lazima uwe na mtaji mkubwa at least from 3M, niambie kijana alietoka chuo anapata wapi hiyo pesa, pesa chini ya hapo kutoboa ni ngumu sana, lakini pia tukumbuke hizi kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu, huwa tunajipa moyo pambana ila kiuhalisia mafanikio yake mara nyingi ni hela ya kula na kulipa kodi ndio inayopatikana,
Mimi ni mhanga nimemaliza chuo mwaka jana sijui nini kitakachotokea huko mbele japokua kurudi nyumbani nimekaza japo maisha bado yanagonga kwenye mshono

