Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,628
- 9,564
Shida wanadharau kazi ngoja jua liwapige ndio watatia akiliTatizo lenu mnadharau biashara.
Kuna wadau hapo juu wanawashangaa graduates mmoja anauza kande, mwingine vitumbua.
Cha ajabu hapo ni kipi hasa?? Ndivyo biashara inavyoanza kiugumu, siku mtaji ukikua akafanya makubwa mnaanza kusema anadanga. Akili mgando kabisa hizi



