Hali ya wanachuo mtaani

Hali ya wanachuo mtaani

Kuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu

Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)
Bora yeye ana uhakika wa kupata laki 6 kwa mwezi
 
Mmmmh,,,, kusoma ni vizuri, swali ni je UNASOMEA NINI?
Mtizamo wa elimu inatakiwa ubadilishwe pia na muda wa kukaa shuleni inatakiwa upunguzwe pia. Ili mtu akitoka huko awe na start up ama basic knowledge tu aingie mtaani aanze Kama kuuza mahindi,kuchoka vitumbua awahi ajipange mapema.

Mie nikushauri primary iwe 5yrs na sekondari 5 years then chuoni iwe 3/4 Kwisha kazi. Mtu akiingia kazini afanye kazi chini ya wazoefu awe Kama anasoma practically Sana.

Yaani Kuna watu wanapata elimu kubwa mtandaoni kuliko chuoni Tena ya Mana na Ni bure kabisa.

Mana ukimaliza chuo ndipo unapoaanza kusoma Sasa,Mana kitu unachokipenda huwezi kukoma kutokisoma kila siku.


Yaani mtu unajiumiza unasoma weweee baadaye Tena kazi inakuwa shida na watu wako programmed since their childhood. To rewire or recode that program isn't an easy shiiit
 
Tatizo lenu mnadharau biashara.
Kuna wadau hapo juu wanawashangaa graduates mmoja anauza kande, mwingine vitumbua.

Cha ajabu hapo ni kipi hasa?? Ndivyo biashara inavyoanza kiugumu, siku mtaji ukikua akafanya makubwa mnaanza kusema anadanga. Akili mgando kabisa hizi
Hata kudanga washakuwa wengi kwa sasa wanashindana na darasa la 7, hao wana zinazobana wao wana mabwawa
 
Mleta agenda hii uko sahihi kwa 100%
Shida ya ajira imekuwa kubwa mno
Na inaendelea kuwa kubwa sana
Ukiangalia mfumu ya elimu umekaa kibiashara pia
(Yaani vyup pia ni biashara inafanywa)
Maana unalipa Ada ili upate elimu
What next baada ya kumaliza sio issue kwa
Wanabaki ku focus kupata batch mpya
Hili jambo linahitaji mjadala mpana labda pia kubadilisha mfumo mzima wa elimu.
Ifike mahali tuachane na bookish
(Elimu ya kuwinda white colour jobs)
Na kwenda elimu ya ufundi na vitendo zaidi
Ama elimu ya kumuwezesha kijana kufanya jambo la
Either
Ufundi
Ukulima(hapa ardhi tunayo maji tunayo)
Uvuvi(bahari na maziwa tunavyo)
Ufuguji wa kisasa(Ardhi kubwa ipo)
Uzalishaji wa nguo(kurejesha viwanda vya pamba na kuanza kuzalisha vitambaa)
Nk
Hayo ni baadhi ya madadililo yanapaswa kufanyika top down
Kimfumo na mtu mmoja mmoja
Nawasilisha.
Hakika huu Ni ujumbe mzuri Sana mkuu
 
Nani aliyekudanganya mdogo wangu kuwa kujiajiri hakujawahi kumtoa mtu?
Shida bado haujajikubali; akili yako imelenga status job ndio kila kitu.. umeamka asubuhi umechomekea umevaa tai unaenda kwa office unapigwa kiyoyozi.
Kuna watu wamejiajiri pesa wanayoingiza kwa mwezi mbunge akasome
Kuna watu wanauza sambusa, juisi na maisha yanasonga vizuri tu
 
Tatizo vijana wa ckuiz Ni wavivu kupitiliza,Yaani kijana akishahitimu elimu ya chuo utamuona akizunguka maofisini na bahasha kutafuta white collar jobs ambazo Ni ngumu kupatikana.

Vijana wanatakiwa wajiongeze wajifunze kazi za mikono ambazo zitawawezesha kujiajiri.
 
Majobless tumebaki kubet tu balaaa
Mimi madogo wa chuo nawaambiaga hakikisha kabla ujamaliza boom la mwsho ununue viwalo vya kutosha
Depo la mtaani huku utavaa boksa inaisha hadi inabaki na kamba kama nanga
Serikali iangalie kama inashindwa kuaccomodate graduates basi waombe mazingira vijana wakajarbu ng'ambo
 
Back
Top Bottom