Hali ya wanachuo mtaani

Hali ya wanachuo mtaani

wengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.

Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,

Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8

Namuangalia nasemaa hiiii,
3.8 anaendesha bajaji? Huyo naye hayuko serious mbona vyuo kibao tu vime re advertise nafasi za kufundisha kwa GPA hiyo hasa kwa kozi yake Iko rare so hata tutorials ni wachache mnoo.
 
Baada ya ugunduzi wa gesi, wachina waliojenga Bomba wakatoa scholarships za watu kusomea Petroleum and related fields, watu wakahamasishwa, serikali ikachukua the best kusomea hiyo course.

Wakasoma, walipomaliza Utawala ukabadilika, ukasitisha uwekezaji wote
Petrobas, Stateoil waliokuwa wakifanya utafit deep sea wakaahirisha utafiti na kurudi kwao maana mazingira ya uwekezaji yalikuwa hayako upande wao.

Halliburton walikuwa na Ofisi zao karibu na India CC nao wakaondoa.

Ukijaribu ona, ni siasa ndo chanzo cha yote kutokea
Hiyo kozi Ontario ilimshinda akaacha chuo😂
 
Iko hiv ... Elimu na ajira vimekuwa implemented ili kuweka matabaka kati ya masikini, viongozi wa nchi na matajiri simply means kwa zamani ni watoto wa viongozi na matajiri tu ndio walikuwa wanafaulu na kuendelea na elimu za juu hivyo ajira serikalini ilikuwa ni kwaajili ya watoto wa hao hao viongozi na matajiri ili kuendeleza unyonyaji kwa masikini na ndio maana ajira ni chache na ni kwasabab ili tengwa kwa watu maalum tu na si vingenevyo ... So imagine mtoto wa masikini ambae hakupigiwa hesabu ya Elimu na ajira kwa kifupi hakuwa kwenye system yao nae eti asome na ajira apate unazani nin kitatokea .. Lazima mlalamike ajira chache coz havikuwa implemented kwaajili yenu but mnalazimisha tuh
 
3.8 anaendesha bajaji? Huyo naye hayuko serious mbona vyuo kibao tu vime re advertise nafasi za kufundisha kwa GPA hiyo hasa kwa kozi yake Iko rare so hata tutorials ni wachache mnoo.
Unadhani ni rahisi hivyooo?? Sijui huenda alijaribu akakosaa, sema uwe na connection hapa nchini, vinginevyo utakulaa vumbii tyuuh.
 
Nani aliyekudanganya mdogo wangu kuwa kujiajiri hakujawahi kumtoa mtu?
Shida bado haujajikubali; akili yako imelenga status job ndio kila kitu.. umeamka asubuhi umechomekea umevaa tai unaenda kwa office unapigwa kiyoyozi.
Kuna watu wamejiajiri pesa wanayoingiza kwa mwezi mbunge akasome
Yes, upo sahihi, kujiajiri ninakozungumzia mimi ni kwa huyu mhitimu ambaye ameamua kuwa machinga na kuwa bodaboda ambapo ndio asilimia kubwa wameangukia huko, waliotoboa ni bahati, channel plus wenye mitaji mikubwa ambapo kati ya wahitimu kumi wenye hivo vitu hawazidi wawili.
 
Unadhani ni rahisi hivyooo?? Sijui huenda alijaribu akakosaa, sema uwe na connection hapa nchini, vinginevyo utakulaa vumbii tyuuh.
Ni kweli lakini kufundisha kama una GPA kubwa mnaweza itwa watano tu so chances za kutoboa bila connection ni kubwa. Ukiangalia Mitandaoni nyingi zinakua re-advertised maana hakuna applicants wenye vigezo wameomba.
 
Back
Top Bottom