Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Wana ajiriwa kwa kujuana zaidi.
Hiyo dhana iondoe kichwani mwako itakufanya uone mambo ni magumu zaidiWana ajiriwa kwa kujuana zaidi.
Nlishasema we kajamaa nikashetani wewe... Ovaaa




vipii nawee huna ajira?? Sio kwa makasiriko hayaa. KhaaaahKuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu
Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)





uliruka kiunzi ki1 hataree sanaaa. UwiiiiihTena sio shida zake, serikali iko buzzy kulamba asali,Kila mwaka wanaongezeka serikal ipo kimya tu wala hata haijal






Kuna mdada hapa kamaliza udom mwaka juzi, yupo anauza kande! Ni huzuni kwakweli.. kwenye elimu wengi wametapeliwa.. na huu ni utapeli wa wazi






ni huzuniiiUkweli ndio huo.Hiyo dhana iondoe kichwani mwako itakufanya uone mambo ni magumu zaidi
Siyo mchezoTena sio shida zake, serikali iko buzzy kulamba asali,![]()
Bora hata wewe unayepambana,,, Kuna raia washajikatia tamaa kabisa.Well, lakini pia mfumo wa kujiajiri nao haupo favourable kabisa, ili ujiajiri bongo kisha uje kutoboa ie. Business lazima uwe na mtaji mkubwa at least from 3M, niambie kijana alietoka chuo anapata wapi hiyo pesa, pesa chini ya hapo kutoboa ni ngumu sana, lakini pia tukumbuke hizi kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu, huwa tunajipa moyo pambana ila kiuhalisia mafanikio yake mara nyingi ni hela ya kula na kulipa kodi ndio inayopatikana,
Mimi ni mhanga nimemaliza chuo mwaka jana sijui nini kitakachotokea huko mbele japokua kurudi nyumbani nimekaza japo maisha bado yanagonga kwenye mshono
HaswaaahSiyo mchezo
Vijana watafutiwe namna wezeshi,, ukikutana na mtu aliyehitimu hivi karibuni atakwambia ideas nzuri sana, mawazo Bora na yenye ubunifu wa hali ya juu, na unaona kabisa huyu kijana kwa namna anavyowaza anaenda kuleta mabadiliko makubwa sana kwenye jamii, familia na taifa kwa ujumla. Lakini baada ya mda kidogo mtaani kila kitu kinayeyuka.........! DaahSiyo mchezo
.Anakuwa Afsa usafirishaji (Bodaboda)Vijana watafutiwe namna wezeshi,, ukikutana na mtu aliyehitimu hivi karibuni atakwambia ideas nzuri sana, mawazo Bora na yenye ubunifu wa hali ya juu, na unaona kabisa huyu kijana kwa namna anavyowaza anaenda kuleta mabadiliko makubwa sana kwenye jamii, familia na taifa kwa ujumla. Lakini baada ya mda kidogo mtaani kila kitu kinayeyuka.........! Daah.
Nani aliyekudanganya mdogo wangu kuwa kujiajiri hakujawahi kumtoa mtu?lakini pia tukumbuke hizi kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu, huwa tunajipa moyo pambana ila kiuhalisia mafanikio yake mara nyingi ni hela ya kula na kulipa kodi ndio inayopatikana,
Ahahaha wenzako tulishaibgia kwenye mfumo miaka mingi sanaaa... Pambaneni majoblessvipii nawee huna ajira?? Sio kwa makasiriko hayaa. Khaaaah