Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 970
- 1,723
Unamuombea mwana mabayaKuna jamaa kamaliza saut,afu karudi kwao kijijin hatak kukubaliana na hali kuwa kamaliza chuo na hana mishe,kila siku namuona anachomekea na kuvaa ksmart vikadeti vyake vya chuo na shati za mtumba
Wenzie tulishapigika kitambo sahv tunaendesha boda boda ila najua baada ya nusu mwaka atanyooka tu hasa huto tukadet tukianza kuchanika kwenye magoti